Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Kwa kuwa Mungu alisema si vyema mtu aishi peke yake, na hivyo mtu atamwacha babae na ***** na kuambatana na

mkewe, na kwa kuwa mama yangu mpenzi gfsonwin na baba yangu mzee mzima Kaizer wamenipa baraka zao,

nikitambua kuwa 'tunda' ni moja wapo ya basic needs, nikisukumwa na pendo la dhati moyoni, mara baada ya masharti

na vigezo kuzingatiwa, mimi, Ronn M, Mtanzania mtu mzima, nikiwa na akili timamu, na bila kulazimishwa na mtu yeyote,

natamka ya kwamba, @jineneke now belongs to me! Naahidi kupenda, kumjali,kumtunza, kumlinda na kumridhisha kama

baba na kama mume! Taarifa hizi zimfikie cacico, Mwa J (nilimpenda sana, (sorry jeneneke, never mind)), charminglady and AshaDii popote walipo. Taarifa hizi pia ziwafikie Erickb52, Asprin, Dark City, Baba V Mamndenyi, Preta Shixi889, Kongosho, BADILI TABIA, Mzee Mtambuzi, The Boss na platozoom. Nitoe onyo kwa Bishanga, kaa mbali! Shukrani za dhati kwa mshenga ruttashobolwa kwa kazi njema

Tayari nilikwisha agiza pete toka ughaibuni kama muionavyo hapa.

My Diamond ring.jpg
Kisses @jineneke! Kisses darling!​
 
Last edited by a moderator:
Ndo hivo oh huyu mgeni hafai kolewa haolewi,ndo imekuwa,siyo vijembe ni chereko tu.I can imagine katoto katazaliwa mkono mmja kameshika Bible mwingine Law Report.

Upo sawa kabisa mamito. Haki itatawala nyumbani kwetu. . .
 
Ronn M naona umeamua kuvunja ukimya...!
Safi sana sasa andaa pilau na maji ya petrol watu tuje tujiachie!
Ila nina wasiwasi sana na mshenga wako ruttashobolwa sina imani nae coz hakawii kukuzunguka!
Chukua salamu zangu kwa jeneneke mwambie akinimiss asisite kunipigia simu coz yakale hayanuki na Old is Gold....1
Sina nia wala maana mbaya hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hizi ndoa za hapa jamvini sasa mmmh! too much! naomba mwongozo kwa Mamdenyi,Kongosho na Judgement!,hivi hakuna sheria inayowabana watu kuja kututangazia wakiachana!!??, afu je kila mtu anajitangazia tu!!?? mara HYGEIA na Erotica, mara Charminglady na Mtoto six, mara Ronn M na jeneneke, tena huyu jeneneke ndo mgeni sidhani kama hata ODM amemkagua, haya bana
 
walaahhhhhhhhhhhhhhh mie nitalipia gharama za gauni la harusi...

shemeji Kaizer na dada yangu gfsonwin, naona mtoto kakua huyu...soon tusubirie wajukuu...

Kwa kuwa Mungu alisema si vyema mtu aishi peke yake, na hivyo mtu atamwacha babae na ***** na kuambatana na

mkewe, na kwa kuwa mama yangu mpenzi
gfsonwin na baba yangu mzee mzima Kaizer wamenipa baraka zao,

nikitambua kuwa 'tunda' ni moja wapo ya basic needs, nikisukumwa na pendo la dhati moyoni, mara baada ya masharti

na vigezo kuzingatiwa, mimi, Ronn M, Mtanzania mtu mzima, nikiwa na akili timamu, na bila kulazimishwa na mtu yeyote,

natamka ya kwamba, @jineneke now belongs to me! Naahidi kupenda, kumjali,kumtunza, kumlinda na kumridhisha kama

baba na kama mume! Taarifa hizi zimfikie
cacico, Mwa J (nilimpenda sana, (sorry jeneneke, never mind)), charminglady and AshaDii popote walipo. Taarifa hizi pia ziwafikie Erickb52, Asprin, Dark City, Baba V Mamndenyi, Preta Shixi889, Kongosho, BADILI TABIA, Mzee Mtambuzi, The Boss na platozoom. Nitoe onyo kwa Bishanga, kaa mbali! Shukrani za dhati kwa mshenga ruttashobolwa kwa kazi njema

Tayari nilikwisha agiza pete toka ughaibuni kama muionavyo hapa.

View attachment 62557
Kisses @jineneke! Kisses darling!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hizi ndoa za hapa jamvini sasa mmmh! too much! naomba mwongozo kwa Mamdenyi,Kongosho na Judgement!,hivi hakuna sheria inayowabana watu kuja kututangazia wakiachana!!??, afu je kila mtu anajitangazia tu!!?? mara HYGEIA na Erotica, mara Charminglady na Mtoto six, mara Ronn M na jeneneke, tena huyu jeneneke ndo mgeni sidhani kama hata ODM amemkagua, haya bana

Hii ni dalili ya mtu aliyeumizwa. Bila shaka many applications were sent in vain!
 
Back
Top Bottom