Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,810
Halafu nataka kumindua coz nimegundua uko kwenye damu yangu....! The secretary kama unaridhia naomba unambie niachane na Preta na Remmy nijitulize kwako mama....najua Bishanga anakupenda kiuongouongo tu hana lolote kwanza kiruka njia sana na hana mapenzi ya kweli kwako!
I love you The secretary
Mwaaaaaah
Nilishakupa kibuti Siku tatu, nne zilizopita, baada ya kusikia una harusi na Preta.
Mapenzi kwangu sina bahati nayo
Narudi zangu siasani nikaandae jimbo mie.
Last edited by a moderator: