Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Uncle mengine nyamazia. Hapa nawaza honeymoon itavyokuwa hasa ukizingatia bibie jeneneke amejitunza siku zote za ubinti wake!

Tena nasubiri hiyo siku kwa hamu mpenzi ili kuthibitisha kinyume hao wote wanaojaribu kunivurugia at this stage
 
Maandalizi ya harusi ni gharama sana! Lazima muda mwingne niwe busy kujipanga! Si unajua mke siwezi kuomba msaada watu wanisaidie kutunza? Wataishia kuwa na uchu kama Eric na rutta

Nimekuelewa mpenzi
 
Haya, ngoja niende mtaa wa pili nikamfikishie ujumbe. Humtumiagi hata kakiss ka mwaah nimpelekee?
mwambie ye ndiye haswaaaaaa pumzi yangu, akiikatisha tu nafwa! mkiss, mchum mwahhh, mmmmwaaahhhhh!! tena kwa lips na para la babu vyote!
 
  • Thanks
Reactions: ODM
Back
Top Bottom