Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

Samahani Erickb52 namsaidia mpenzi wangu kujibu,nia katangaza lakini haimfungi moyo na macho kutamani vinavyompitia
So jeneneke unaniruhusu na mimi kuja kwako kutangaza nia maana lol kizuri kula na ndugu yako!
 
Last edited by a moderator:
Kwa namna ya pekee nawashukuru wale wote waliofurahia na hata wale ambao hawakufurahi nawapenda wote Mungu Aendelee kuwabariki.Wooote nawatakia usiku mwema hasahasa mama gfsonwin najua uko busy na shamra*2,mshenga ruttashobolwa,aunt BADILI TABIA,Erickb52,mama mdogo cacico,babu Mtambuzi,Mtoto six,Mathematics,Baba V,Asprin you made my day with the picha thank you, na wote na mwisho kabisa, mume wangu mpenzi mtarajiwa Ronn M nakupenda sana sleep tight baby!
Sawa mamaaaa jeneneke pamoja daima
 
Last edited by a moderator:
So jeneneke unaniruhusu na mimi kuja kwako kutangaza nia maana lol kizuri kula na ndugu yako!
Sijkuelewa hapa Erickb52 kutangaza nia kuhusu kipi hicho tena kizuri ndugu yangu unachotaka kula na mimi? Si unaona?Mnamsingizia mshenga wangu kumbe kinyume chake ni kweli.
 
Last edited by a moderator:
Sijkuelewa hapa Erickb52 kutangaza nia kuhusu kipi hicho tena kizuri ndugu yangu unachotaka kula na mimi? Si unaona?Mnamsingizia mshenga wangu kumbe kinyume chake ni kweli.
Kama unamruhusu Ronn M aonje vya nje so hata wewe nataka kukuonjesha cha nje
 
Last edited by a moderator:
Doh! Yalinibana sana nlipokuwa bungeni. Hasa hawa viti maalumu, walikuwa balaa kabisa. Sijui mkulu alitumia factor gani

Ile mimi uncle wako bado sijaridhika......naona ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya
 
Back
Top Bottom