Mimi mgeni wenu

Hili jina lako limenikumbusha kuna ndege mmoja maeneo ya uchagani huwa anatoa sauti ambayo wenyeji huitafsiri kama "ndekrefa" maana yake "nilikaribia kufa".

Nadanganya au nasema kweli?
 
Ok, kwa nini umeamua kujiunga JF na kwa faida ya nani?

Nimejiunga ili niweze ku-comment na ku-quote kama wewe unavyofanya hapa. Nimejiunga ili kuwa karibu na habari na maarifa mbakli mbali zaidi. Labda naweza pata huo ujuzi na proffesion humu. Vipi mkuu wewew una proffesion gani ili unifundishe kwa shule bila ada angalau nami nipate ujuzi kidogo?
 
Karibu mgeni..Kuna jukwaa letu pendwa la kula tunda kimasihara naomba upitie na utuelezee eskpiriensi yako ya kutafuna papuda kimasihara
 
Karibu mgeni..Kuna jukwaa letu pendwa la kula tunda kimasihara naomba upitie na utuelezee eskpiriensi yako ya kutafuna papuda kimasihara

Mmmh sijaelewa.. kwani wanagawa matunda humu? If yes naomba unigaie mkuu.

Binafsi sijaliona hilo jukwaa.. waweza nipeleka kama hutojali.
 
Subiri waje kukupeleka kwenye Hilo jukwaa..na matunda utayapata kule ya kila Aina.

Nilitegemea utakuwa mwenyeji wangu mkarimu, utanipeleka kwenye hilo jukwaa wewe mwenyewe na tunda utanipea wewe mwenyewe

Au nilikuwa wrong kufikiria huo ukarimu wako kwangu mimi mgeni? Maana wewe ndio ulionitoa tongo tongo kuhusu hilo jukwaa.
 
Mbona nimekuwa mkarimu eti..wenyeji wa ule mtaa wa masihar watakuja kukupa mwongozo..Mimi mwenyewe kule mgeni.
Hao watakaokupa muongozo ndiyo wanamatunda Sasa.
 
Mbona nimekuwa mkarimu eti..wenyeji wa ule mtaa wa masihar watakuja kukupa mwongozo..Mimi mwenyewe kule mgeni.
Hao watakaokupa muongozo ndiyo wanamatunda Sasa.

Oho.. i see. Kumbe wote tuu wageni hapa jukwaani? Bhas sawa mkuu.

Nimechagua kuwa muelewa.
 
Back
Top Bottom