Mimi mgeni wenu

Weka picha acha longolongo usajili wako hauwezi kamilika

Kuwa mpole, hapa nilipo ndio nakwenda kusafisha negative.

Halafu nifundishe hio picha nitaiweka kwa wapi? Na namna ya kuiweka kama hutojali
 
Kuwa makini mimi namjua huyo zaidi ya wewe mkuu

Asante kwa tahadhari kiongozi.. ndio uzuri wa kujitambulisha ili upate taratibu na muongozo.

Sema sio mbaya, acha anitembeze tu jukwaani hapa..nipate kampani yake..kwani ni mumiani huyo?
 
Back
Top Bottom