Mimi kama atheist 🤔

Mimi kama atheist 🤔

Ndio maana sinywagi pombe. Kabla ya leo sikuwahi kuona min -me akiwa anatoa majibu harsh ndo naona sahiz hapa 😅😅

Hii ya Mwisho. Nisije nikapoteza network na mm.

Nikakumbuka Wapalestina wanavyoteseka 😂😂😂
20260930_210544.jpg
 
sjakataa mkuu,
kuna kipindi niliendaga machame gate la kupandia mt.kilimanjaro aise mademu wa kipalestina ni wazuri kinoma ila wanaroho katili kinoma
Hilo la kusema wana roho katili kinoma ni kwavile tu mmepandikizwa chuki dhidi yao,

Nchi nyingi zilizotawaliwa kimabavu kwa muda mrefu,raia wake hua strong na kua na roho ngumu kwa ukatili wanao fanyiwa,angalia nchi kama South Africa,

Wewe walikufanya nini mpaka useme kua wana roho katili?
 
sio chuki ni reality
Kuna jamaa alioa mpalestina wakazaa 2 kids after 10yrs yule maze akamkili jamaa ili arithi mali

Guess what

wapalestina wanaogopeka
 
Unaona sasa,

Ndio maana nakwambia kua mmekaririshwa vibaya tu dhidi yao,

Wanawake wa kimatumbi wao hawajawahi kuua waume zao? Hakuna kesi za kuua waume zao?

Kwahiyo huyo mwanamke mmoja ndio anatosha kuhukumu wapalestina wate?

Wanawake wa kimatumbi wengi tu huua waume zao,hata vijana wa kimatumbi zipo kesi wameua wazazi wao ili warithi mali,

Kila jamii hua ina watu wazuri na watu wabaya.
 
Noma
 
Back
Top Bottom