Asili ya wachaga wanampenda mungu na bikira Maria, we ni mchaga fala wa wapi bwasheeMimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,.
Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini zote ni wa Lutheran baba wa wa protestant 🤔
Asili yangu kwa mama ni mpalestina na baba ni mmatumbi wa kibosho kina Mushi, kabisa , hapo ndipo uchunguzi wangu ulipo anza rasmi🤔
Natamani kujua maswali zaidi kuhusu mimi , nanitajibu kiufasaha zaidi