Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #101
Masikini tunda langu ae, ae,
tunda lenye rangi yangu ae, ae, nilikwenda msituni ae, ae, mimi na rafiki yangu ae, ae, risasi ikaponyoka ae, ae, ikampiga rafiki ae, ae.
Wifi huo unaimba kwa sauti ya chini , hakikisha unailegeza pia!.. Naupendaje?..hahahaha wifi nahitaji tune ya huu wimbo lol
Wifi huo unaimba kwa sauti ya chini , hakikisha unailegeza pia!.. Naupendaje?..
Hapo unamalizia pole kwa ubaya wangu ae, ae!
Khaaa, kwani si nilikwambia nalitegemea ijumaa niendee njia ya msalaba? Njo ulichukue jmosi wifi plz...khaaa kesho nikija kwako kuchukua lile gauni langu usisahau kuniimbia
Khaaa, kwani si nilikwambia nalitegemea ijumaa niendee njia ya msalaba? Njo ulichukue jmosi wifi plz...
Ngoja nikupigie nikuimbie kwenye simu!
Ndio hivyo, usiponisitiri wifi ako utamsitiri nani? Ntalipeleka usijali wifi..uwifi gharama huu,haya na mtoko nalo jmosi ukirudi tu upeleke dry cleaner unaskia?na nasubiria simu yako.
ndo nchi gani hiyo?
Ndio hivyo, usiponisitiri wifi ako utamsitiri nani? Ntalipeleka usijali wifi..
Nasubiri masaa ya ofa ndio nikupigie. Usilale!
Kabana una swagger wewe....lol... Wimbo wa sandakalawe waujua woote dear? Nina wasi wasi kidogo...
Afganistan budy.
anana ana do...ispilingiii matejoooo...kajambaaa,tenaa sanaaa,ushuziiii unanukaaaa.............. na hihiiii YAI BOVU YAI BOVUUU,LINANUKALINA NUKAAAA..
Dada nieleze nieleze nieleze, siku uliyokuja uliyokuja uliyokuja, ulivaa nguo gani, nguo gani nguo gani
Nilivaa tinabuu, tinabuum, tinabuu,
chini, raba mtoni
juu shati puto puto.......
Nyingine...
Maua ya bustani yamechanua, kina baba kina mama siri zenu tumezijua........
jinsia za wana jf ni siri moyoni mtabaki kuotea otea mkikutana live ndo unabaki mdomo wazi......mm nyimbo nlikuwa czifagilii napenda michezo yetu hasa kombolelaaaa butuaaaa huokoe wenzio,,,,nlikuwa napenda kujificha na wakina kabakabana,preta,afrodenz n.k