Mimba za manabii na mitume, kichefuchefu kingine cha kiimani

Hakika wanawake tunahitaji Neema tu na si vinginevyo, huko tunakoenda mara nyingi watu wanaambulia mapepo, na wanawake ndio wenye mapepo zaidi, yaani ndoa zinatutesa mnoo wote wanaotafuta ndoa na wenye ndoa ni mshike mshike,wengine hata hawajiulizi kwann mume kabadilika anakimbilia kwa manabii wakati unashinda kuchati kutwa nzima bwana akirudi hujishughulishi, mtu usipopata mtoto hujiulizi hata nn makusudio ya Mungu kukupa jaribu hilo unaanza kuhangaika, haya makanisa mapya yamejaa robo tatu wakiwa wanawake,mimi naamini katika kujiombea ww kwanza na madhabahu yako basiiiiiiiii, ukiomba katika roho na kweli sidhani kama Mungu ni kiziwi asikusikie, kwanza mwenyewe kasema ombeni nanyi mtapewa, kwanini usimtwishe fadhaa zako na yy azibebe bwana????
 
Ni wachache wanaoweza kufikir ulivyofikir. Lakin pia kuombewa c vibaya, shida ni huyo anayefanya huo mchakato wa maombi
 
Kwa hali ya sasa nadhani unapaswa kwanza kujiombea, kama umeshindwa sana nenda kwenye chimbuko la Kanisa lako, km Rc nenda kwa Padri, kama Kkkt nenda kwa Mwinjilishi ama Mchungaji nk lkn si kwa wale watu
 
Lakini wapo wanaofanikiwa pasipo na shaka yoyote
 
Kwa hali ya sasa nadhani unapaswa kwanza kujiombea, kama umeshindwa sana nenda kwenye chimbuko la Kanisa lako, km Rc nenda kwa Padri, kama Kkkt nenda kwa Mwinjilishi ama Mchungaji nk lkn si kwa wale watu
Hii ndio njia sahihi na effective zaidi

Jr[emoji769]
 
.
IMG-20190517-WA0029.jpeg
 
Back
Top Bottom