Mimba za manabii na mitume, kichefuchefu kingine cha kiimani

Hizi movie hivi ziliishaje?
hqdefault.jpg
downloadfile-3.jpg
 
Kuna mwingine yupo hapa nyuma ninapo ishi, nilisikia siku anawambia waumini wake et" mie mchungaji wenu na kuaje maskini na pesa mnazo.. Et ata wewe ( anataja jina) unashindwa kuchangia mchungaji wako ata laki..!?"
 
[emoji26] [emoji35] [emoji26] [emoji35] [emoji144] [emoji102]kimaslahi zaidi
 
Ukishajua hakuna Mungu huu usanii usanii mdogo mdogo hauwezi kukutatiza.
 
Dini imekuwa biashara kubwa. Kuna wababaishaji na wahalifu wengi waliomo ndani ya dini. Time will tell
 
Du mi kila J2 namuona mtumishi wangu akijinasibu kuwa ' kama we binti huzai mi naacha uchungaji' mpaka wanajisahau kama vile ndo Mungu aumbaye mbingu na dunia

Iwapo mtumishi wa Mungu au mtu yeyote atasema ya kwamba kila akiombacho lazima Mungu atafanya, hiyo siyo njiani sahihi. Nasema hivyo kwa sababu Mungu yeye ni kuu, enzi na mamlaka yote binguni na duniani ni yake. Yeye anajibu maombi yetu sawasawa na mapenzi yake. Kwa hiyo haiwezekani mtu yeyote ambaye ni kiumbe aliyeumba na Mungu amlazimishe au kumshawishi kwa njia ya kuomba kwa imani. Lakini mtu aupendezaye moyo wa Mungu akiomba kitu chochote kwa imani na unyenyekevu huyo humsikia na kumpa haja ya moyo wake. Ndio maana imeandikwa "...Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2.
 
Back
Top Bottom