Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,121
- 2,322
View attachment 686860huyu alikamatwa baada ya kuwapa mimba waumini wake 20 wakiwemo wake za watu
duh.hii tanzania mkuu? ilinipita.
View attachment 686860huyu alikamatwa baada ya kuwapa mimba waumini wake 20 wakiwemo wake za watu
Mbona kafanana na mimiView attachment 686860huyu alikamatwa baada ya kuwapa mimba waumini wake 20 wakiwemo wake za watu
Bullshit + Shithole thinking..Iwapo mtumishi wa Mungu au mtu yeyote atasema ya kwamba kila akiombacho lazima Mungu atafanya, hiyo siyo njiani sahihi. Nasema hivyo kwa sababu Mungu yeye ni kuu, enzi na mamlaka yote binguni na duniani ni yake. Yeye anajibu maombi yetu sawasawa na mapenzi yake. Kwa hiyo haiwezekani mtu yeyote ambaye ni kiumbe aliyeumba na Mungu amlazimishe au kumshawishi kwa njia ya kuomba kwa imani. Lakini mtu aupendezaye moyo wa Mungu akiomba kitu chochote kwa imani na unyenyekevu huyo humsikia na kumpa haja ya moyo wake. Ndio maana imeandikwa "...Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2.
Kabisa mkuu tena tunao wengi sanaIwapo mtumishi wa Mungu au mtu yeyote atasema ya kwamba kila akiombacho lazima Mungu atafanya, hiyo siyo njiani sahihi. Nasema hivyo kwa sababu Mungu yeye ni kuu, enzi na mamlaka yote binguni na duniani ni yake. Yeye anajibu maombi yetu sawasawa na mapenzi yake. Kwa hiyo haiwezekani mtu yeyote ambaye ni kiumbe aliyeumba na Mungu amlazimishe au kumshawishi kwa njia ya kuomba kwa imani. Lakini mtu aupendezaye moyo wa Mungu akiomba kitu chochote kwa imani na unyenyekevu huyo humsikia na kumpa haja ya moyo wake. Ndio maana imeandikwa "...Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2.
Yeah, wote ni wafanyabiashara au tunaweza kuwaita wajasiriamali wa kidini.Watu wako kimaslahi zaidi lakini wakijificha kwenye kivuli cha dini...
Duuuh ni hatarView attachment 686860huyu alikamatwa baada ya kuwapa mimba waumini wake 20 wakiwemo wake za watu