Mimba za kuzimu

Kuna dada mmoja ana tatizo la bleeding kila wakati na ameshahangaika saana hospital imeshindikana, sasa hivi anahangaika kwa waganga lakini bado,ana miaka 40 na bado hajabahatika kupata mtoto, je unamshauri nini?
 
Kama alifanyiwa hiki kitu ni ngumu kupata tiba.....
inawezekana kabisa bleed yake ya mwisho kabla hajapata hili tatizo kuna mtu aliipata pedi yake iliyotumika akachukua kipande kidogo chenye damu akachanganya na dawa mbaya kwa maelezo ya mganga mchawi, kisha akakifunga vizuri na uzi au pini akaenda kukitupa kwenye maji yanayotembea mtoni
 
Ni karibu wote ukipata mkweli ni wa kuokoteza na darubini mchangani
Kwanza naelewa shetani ni mjaja sana maana ndo anayeyatawala makanisa na misikiti kwa kiasi kikubwa ila watu wanakimbilia kuamini kuwa shetani amamiliki freemason tu.Hata hivyo MUNGU hayupo tena makanisani anadili na mtu mmoja mmoja ivo naamini kwa nyakati hizi hamna tena nabiii wa kweli
 
Inabidi Mshana ufungue chuo uanze kufundisha watu na kwa vile humu jf una wanafunzi wakutosha si vibaya ukawajengea uwezo wakawa wakufunzi wasaidizi katika hicho chuo chako na sivibaya kama utakijengea kifaru au kilomeni,pia sivibaya kama utakijengea kikweni,tena pale nikaribu na msitu wa kamwala,pia patakuwa njia panda ya usangi.
 
Sasa apo nieleweshe vizur inakuwaje mtu anasema kwajina la yesu na kuombea kumbe anatumia jini

Uku navojua mapepo na ata ibilisi akitajiwa jina la yesu anashindwa kuzur.
Wewe ndo unaskia kuwa katamka kwajina la Yesu lakn hatamki hvyoo anatamka jila la anayempa hzo nguvuu zakipepo.
 
Kuna dada mmoja ana tatizo la bleeding kila wakati na ameshahangaika saana hospital imeshindikana, sasa hivi anahangaika kwa waganga lakini bado,ana miaka 40 na bado hajabahatika kupata mtoto, je unamshauri nini?
Mkuu tuwasiliane. Nimpeleke kwa Mtumishi Wa Mungu huyo Dada.

Hakika kama ni mpango wa kishetani wa yeye kutopata Mimba, na atapata.

Mimi niko Dar. Asante.
 
suala sio Mungu abariki matumbo yenu suala ni nyie kuacha kutoatoa mimba
 
Vipi serikali itanipa ruzuku? Kama hili litafanyika hakuna shida
 
Hii comment imenichekesha vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…