shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 516
- 550
Wanapanga kutumalizaa baaabaaa wanapanga kutumalizaaa😭😭😭😭😭Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Mbinguni?Hapana.Labda motoni.Tutafika mbinguni tumechoka sana..
Mimba huwa inahesabiwa kwa miezimiezi,labda kama hujui tofauti ya mwezi na mwaka,ambapo inakuweka kwenye hatari ya KUPIGWA.Naomba ya miaka 10
Wengine tunaenda mbinguni 😬Mbinguni?Hapana.Labda motoni.
Mkuu, nina shidaAhaaa halafu Ile miezi mitatu ya mwanzo inakuwa Moto hatariii
Nimemiss Sana mimba
Nini kipenziMkuu, nina shida
Hela Tu mkuuhalafu lengo lake hasa ni nini ?
Njoo nikutundikeAhaaa halafu Ile miezi mitatu ya mwanzo inakuwa Moto hatariii
Nimemiss Sana mimba
Kama Una ya miezi 18 NI pmNikuletee ya miezi mingapi?
Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkom
🤣🤣🤣🤣 hebu tulieni babu.Mtafanya tuwapige risasi tuwaue bure
Kama mnakuwa na shida na hela, bora kuomba nikutafutie kuliko hii shortcut yenu
Kwanza sichelewi kukuibia mkojo na kuukimbiza maabara wakapime kimya kimya 😅
Msitishike, hizo ni kwaajili ya kuigizia tu. We inakuingia akilini umdanganye mpenzi wako una mimba kwa kuvaa hayo madude!!!Aiseee kwaajili ya kutapeli watu,hivi hizi nchi zetu huwa tunapokea hata takataka tu? Mamlaka zinaruhusu vitu kama hivi ni kwaajili ya matumizi ya nini?
Kuna vibaka watafanya hivyo,hasa long distance relationship, mwishoni anajifanya imetoka 😒Msitishike, hizo ni kwaajili ya kuigizia tu. We inakuingia akilini umdanganye mpenzi wako una mimba kwa kuvaa hayo madude!!!