Labda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."
Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.
JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.
#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice

)