Milipuko yatikisa Zanzibar

Milipuko hii kama kweli ni mabomu basi wenye makosa ni serikali kutokuwa makini na matatizo hayo toka mwanzo.Sijaona kilichofanyika ili kuwapata wahalifu,na sijui wanaona furaha gani watanzania wakirumbana kwa mihemuko ya udini wakati huo ni uhalifu na auhusiani na dini yoyote.Sipendi na sitaki kuaminishwa kwamba ni usilamu bali huyo aliyeweka mabomu hayo ni mhalifu tu na wala si kuweka dini mahali penye uhalifu ambao unaweza kutolewa majibu sahihi na wakosaji wakaadhibiwa.Rai yangu kwa Wanzanzibar bila kujali dini zao inabidi wafanye doria wenyewe ili kuwakamata wahalifu hawa.Kwa kweli wanaudhi.
 
Wacha ujinga ww Zanzibar hakuna udini.. waislam wameishi na wakristo kw miaka mingi sana bila ya kubughudhiwa.. lamcngi tafuteni chanzo cha hayo sio kupalilia chuki.. km hamuwezi kuishi Zanzibar ondokeni nyote musitafute sababu.. paka wee..!

Swadakta ammi umenena maneno mazito sana


Nafikiri wengi wanapayuka bila kujua nini wanachonena bali wanasukumwa na fikra za udini na chuki dhidi ya Znz na waZnz.


Nafikiri wangekuwa makini wangejiuliza walikuja CIA kuchunguza kupigwa risasi na kuuwawa kwa Padre huko Znz, Wajiulize JE RIPOTI IPO WAPI MPAKA LEO? MBONA HAIWEKWI HADHWARANI WATU WAJUE.

Siku zote ASIYEJUA AENDAKO HAWEZI POTEA NJIA.

Tuwape pole majirani.
 
Mtatizo tena, kwani hicho kikundi kinachoendesha hayo mambo hakifahamiki? Serikali mko wapi? Intelejensia ipo makini kwa watu wa vyma vya upinzani pekee hebu acheni hii ni aibu kwa Taifa,

 
haya ndiyo matunda ya kutawaliwa mda mrefu na ccm mpaka wamekosa umakini,na sasa hivi wapo bungeni kututengenezea katiba jamani!!
 
Kikwete si alisema mjilinde baada ya bomu la Olasiti Arusha@
 
Ujumbe umefika..........hii game kweli ni ya akili nyingi na hatari nyingi!!!¡
 
jamani tuachane unafki na chuki kwa ndugu zetu wa zanzibar, ukweli ni kwamba sio mlipukoo ni shoti ya gesi kwenye mgahawa karibu na kanisa tu, tunatia chumvi wakati sio kweli! unafkiri hata hao wazanzibari wanataka Muungano si basi tu tumewalazimisha hawana la kufanya na tumewatawala hawana vya kujinasua
 
haya ndio madhara ya viongozi wa kisiasa haswa wa ccm kupanda mbegu mbaya ya udini, ukanda na ukabila kutafuta huruma ya kura.lema alisawahi kutamka hapo nyuma kwamba kikwete ndio mdini wa kwanza mpaka leo sijawahi kusikia idara ya mawasiliano ikijibu hizo tuhuma
 
Wanalipua makanisa ili iweje
Milipuko kwa faida ya nani
Wanaolipua ni kina nani?
Ni waislamu kweli?
Kama ndio ili iweje?
Ukristo ukimbie Zenji au vipi?
Kama ndivyo! Mbona Iran wapo?
Ilhali ni nchi ya kiislamu?
Mkakati kama kweli utafanikiwa?

Ni mkakati wa kishetani tu. Ni wahalifu kama wahalifu wengine. Wakikamatwa adhabu ya kwanza ni kuliwa tiGO.

Bazazi
 
Maaskari wako busy kuwadhibiti Chadema. Hayo mengine hawana habari nayo. Ni aibu kwa Taifa, ni aibu kwa utawala.
 

Once bitten, twice shy!
 


Tatizo ni usiri wa Serikali ya JMTz kwenye matukio kama haya kiasi cha watu kujenga hisia mbaya na Znz na waZnz kwani RIPOTI YA UCHUNGUZI YA CIA HUKO ZNZ KUHUSU MAUAJI WA PADRI WA KIKATOLIKI YANGEWEKA MAMBO HADHWARANI.

Mbona watu wa bara mnakuwa mabubu kudai ripoti hiyo na kanisa limekuwa bubu kutaka kujua ukweli wakti zimetumika pesa nyingi sana kodi za wananchi kuilipa CIA ifanye kazi hiyo.


Tumuombe PiENGO aiweke hadhwarani kupunguza hisia za watu

 

Serikali gani? Ya mapinduzi? Hujui hawataki katiba mpya sasa wameanzs vutimbi
 
Wewe mupunguwani hao watu wanajiripua wenyewe kwa uroho wa sadaka

Na Hoteli ya Forodhani wamejilipua? Nao ni sadaka? am sorry sihitaji ban, lakini nahisi ulitanguliza miguu ulipokua unazaliwa.Jambo hili huwezi kulitenganisha na udini. Kanisa kulipuliwa tunajua kwanini, na Forodhani Hotel pia tunajua kwanini.
 
Serikali gani? Ya mapinduzi? Hujui hawataki katiba mpya sasa wameanzs vutimbi

Wajua si vizuri kumhukumu mtu kama hauna uhakika na kilichotokea.Nitailaumu serikali ya Zanzibar kwa kukosa umakini la kini si dini ya mtu yoyote.Uhalifu haujali dini wala kabila.
 
Mkuu wa kaya juzi kati uliomba msaada wa vifaa vya kupambana na ujangiri,paa tena mpaka china,japan,korea nenda kaombe msaada wa kamera-M nadhani tukipachika kamera za siri ktk maeneo yasiyoisha milipuko kama zenji.tunaweza fanikiwa kuwabaini wanahusika na vtendo hvyo
 
Eh, Mwenyezi Mungu tunaomba utuepushe na haya majanga ya kujitakia ktk taifa letu!!!
 

..........naona mzushi una nena kwa lugha !😛hoto:.................hukuona post zilizotangulia !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…