milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Wivu utawaua mwaka huu....upendo au ushawishi aulazimishi unakuja natural
 
Masaburi in Action,
Kumbe hizo hela katoa baba yako!!??
 
napata shaka kidogo na ufahamu wako na pia namna unavyoweza kujenga hoja ya kisiasa katika jamii.Ni kweli kuwa hili ni jukwaa la kisiasa, lakini jukwaa kwa ajili gani?hapa hoja ni kujenga hoja za kisiasa ili kupanua uhafamu wa elimu ya kiraia na kukuza demokrasia.Kwahiyo, kwa mada hii huna mashiko kisiasa, sababu, chadema iwe imechagisha ili kuonyesha inapendwa au lah, haitoshelezi kujenga uhalisia maridhawa yenye uthibitisho wa hilo.Napenda kukujulisha kuwa chadema isingekuwa na wapenzi, hata kura walizopata pale igunga zingekuwa kidogo sana kama za CUF ambayo siku za nyuma walipata kura 11,000 na juzi wakapata kura 3000;kumbuka mwezi octoba 2010 chadema haikuweka mgombea katika uchaguzi.lakini ccm uchaguzi mdogo uliompa ubunge KAFUMU, waliwazidi chadema kwa kura chache nazo zimethibitishwa na mahakama kuwa hazikuwa za kweli kisheria ndo maana mahakama ikatengua ushindi wa ccm.Hili la kuchangiwa pesa kwa ajili ya kesi na kuonekana kupendwa si hoja rejea kisiasa.jambo la msingi , je wanaigunga kisiaa nini wanahitaji.hoja ya kupendwa inatokana na sera zinazotekelezeka, zenye usimamizi mzuri, na uongozi mzuri.mfano je kwa miezi kadhaa , kumekuwa na sakata la wakulima kuteremka bei ya pamba yao.je serikali ya ccm imefanya nini kuwasaidia wauze pamba yao?je ahadi ya kuwaletea maji safi na salama iliyotolewa na ccm wakati ule wa kampeni imetekelezwa? je mabwawa ya kunyweshea mifugo yaliyoahidiwa , je yamechimbwa?haya ndo mambo walitakiwa watoe majibu yake sababu wao ndo wameunda serikali,wanakusanya kodi, na wanawakuu wa wilaya kama pinda alivyosema wapo pale kutekeleza ilani ya ccm ili kuendelea kushika dola milele.
 
haya km ni uongo au kweli ww shida yako nn?mnaona wivu eeh!
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Makupa, kujipendekeza huku sio bure,kwa vyovyote vile wewe ni nyumba ndogo ya Nape mwenye akili mbovu kama wewe.subili tutakuripoti kwa mkewe.
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

kweli akili yako ndogo
 
Ni kwel CDM haipendwi ila nami nashangaa hawa wananchi inakuwaje wanaichangia, Hawapendwi kabisa hawa CDM ila wananchi wanajipendekeza tu
 
tusipate tabu sana kumjibu huyu chalii tukampime kwanza alikili yake.na IQ.
 
nape at work!!! pole sana..

ha ha hi inashabiana sana na kauli aliyoitoa Nape kuwa chadema inafadhiliwa, ha ha hata hivyo Nape anapatashida sana kuamini kuwa Ruzuku ya Sérekali 200m inafanya chadema kueneza elimu ya uraia kwa speed ya hauna kulala mpaka kieleweke, najua kama ccm watafanya style ya Chadema lazima wataziguana kwenye posho za safari na per dem. ha ha safi sana.
 
Unajua nilitegemea uje na vithibitisho kuonyesha uongo wa CHADEMA na sio kuendelea kupiga domo kama Nape. Hoja kama hizi mods zinashusha heshima ya JF.

inashushaje heshima ya JF as hii ni forum???????
 
Kwenye miaka ya sitini wakati niko middle school(shule za kati) ilikuwa ni fahari na heshima kupokea barua toka posta,
Ilikuwa inabidi mwalimu wa zamu wakati mmejipanga kwenye mstari kabla ya kuingia darasani akutaje kwa mbwembwe unaenda kupokea barua yako.
Hili waonekane ni watu wenye kujulikana, wanafunzi wengine ilibidi wawe wanajindiakia barua wenyewe na kuzipositi ilimradi nao waonekane kuwa hawavumi lakini wamo.
Sijui kama Makupa tulikuwa naye!
 
Da akili za nape yani unafaa kabisa kua mrithi wake make nawe unongea vitu ambavyo balinadam wa kawaida hawez ongea
 
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.

Wewe una akili ndogo.
 
Back
Top Bottom