Milioni 70 vyoo viwili tafakari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milioni 70 vyoo viwili tafakari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAKA A TAIFA, May 27, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  :amen:JANA NIMESIKIA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA WAMETUMIA SHILINGI MILIONI SABINI(70M)KUJENGA VYOO VIWILI. AWALI WALIKADIRIA ZITUMIKE SHILINGI ZAKITANZANIA
  MILIONI 23 KUKAMILISHA UJENZI HUO.

  LAKINI KUTOKANA NA MABADILIKO YA MICHORO YA MTAALAMU HUSIKA ILIONEKANA ILI UJENZI HUO UWEZE KUKAMILIKA ZINAHITAJIKA MILIONI SABINI NA SIO 23 KAMA MAKADIRIO YA AWALI.

  MIMI HAINIINGII AKILINI MAANA HATA NYUMBA YANGU YENYE VYUMBA VINNE NK SIJATUMIA MILIONI 30.

  HIVI HIZI HELA ZA WALALAHOI ZIKISHAMBULIWA KILA KONA KWA KILA ANAYEPATA NAFASI TUTAFIKA. HUU NI UJINGA NA WIZI.

  TAFAKARI CHUKUA HATUA:lalala:
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hivyo vyoo matundu yake ni ya dhahabu......Magamba hao
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahaha... wizi LIVE
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Labda kina mpaka AC ndani na kitanda yaani ukimaliza mambo yako unaweza kulala kabisa humo humo
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Nadhani umesahau
  Kutokana na tatizo la umeme ilibidi wafanye mabadiliko ili vyoo viwewe ku generate umeme. so ndani ya hivyo vyoo lazima kuna mitambo ya kurenew kimba to electrcity energy teh teh teh teh .

  Kazi ipo.... but is this politics ???????
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......................
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  na vina roboti ukishashusha mzigo inakutawazA/kukusafisha hapo hapo kabla hujanyenyuka
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  CHOo CHENYEWE NDIYO HIKI?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Na kukuvalisha nguo kabisa kabla mlango haujajifungua ili utoke.
   
 11. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
  Chama cha Mapinduzi chajenga nchi.
  Sijui ni nchi ipi inayojengwa kwa mfumo huu wa ulaji.
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Duh mkuu wacha hizo bana
  mbona hicho choo hakina hata thamani ya milioni mbili mbona cha kawaida sana ambacho hata mkulima wa pale songea anaweza kukijenga
  Kweli pesa za nchi hii zinaliwa na wajanja
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Si unaona mahekalu na majumba ya kule mbezi na hapo ndio panajengwa mkuu
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Cha ajabu nini hapo??

  Ukifuata kanunuzi za zabuni na manunuzi za PPRA unaweza kujenga choo kimoja hata kwa Mil 100 maana mchakato wake mrefu mno!

  Kwanza utafute injinia mshauri sijui, then mtangaze tenda gazetini sijui mkishatangaza watu wakae vikao kujadili!

  Hivyo vikao na mchakato na mshauri unaweza kukuta mil 20 lakini sio kwamba ni ufisadi thats how it should be sheria zinavyosema.

  Sasa jiulize bora nini tuache watu wale kifisadi mil 5 au tufuate kanuni nzuri milioni 20 iliwe kiuhalali.
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Natofautiana kabisa na wewe, tusipende kila kitu kukihusisha na ufisadi itafika mahala watawala watazoea malalamiko yetu na wasiyafanyie kazi. Mimi nilidhania ingekuwa vema ungekuja na data kamili za ujenzi wa hivyo vioo then tujadiri, kwasababu milioni70 zaweza kuwa zilitumika sahihi tuu lakini kwasababu huna data nzuri hoja yako haijadiriki. Na suala la kwamba umejenga nyumba ya vyumba vinne hujatumia milioni30 ndipo nimeanzia kuwa na mashaka na hoja yako. Mimi binafsi nina kibanda changu cha vyumba vinne kama wewe Total cost so far ni Milioni57(Under serious control) haijaisha kama nitakavyo japo naishi humo.

  To me Tshs Milioni70 zaweza kujenga hata choo kimoja tuu itategemeana na choo chenyewe.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  BOSI WANGU NDIYO MAANA NIMEULIZA HATA MIMI, SIAMINI NINACHOKIONA, KAMA CHOO CHENYEWE CHA 70MIL NDIYO HIKI. Then this country is running on it's own bullshit!
   
 17. sholwe

  sholwe Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watakaoingia kujisaidia ni wageni mashuhuri toka ulaya....!!!
   
 18. 1

  19don JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  labda kinaanzia pale shilika la elimu hadi tumbi hosp; matundu 2700 full a/c:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 19. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ama!!

  [​IMG]
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...