Muhammad01
New Member
- Mar 31, 2023
- 4
- 6
Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
Uko mitaa gani hapa ddm nikupe mchongo vzr tuMtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
Mkuu uliziiba? vipi njia uliyotumia kuzipata.Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
Alfu Kweli umeuliza swali la msingi mnoMkuu uliziiba? vipi njia uliyotumia kuzipata.
Hiyo ipo tu mara nyingi wala sio ajabuMkuu uliziiba? vipi njia uliyotumia kuzipata.
Hilo swali ni la kipuuzi mno
Shukran kwa idea yako mkuuAloo Kam una akili fungua cement ,jk wall putt, andika ,fungua popte kwa mtaji huo unatoboa vzr tu Ila uwe ngangari mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Japo mimi sio mtoa mada ila Swali la ulilomuuloza sijajua umeuliza kwa lengo gani, ila limekaa kama kejeli,Mkuu uliziiba? vipi njia uliyotumia kuzipata.
Una uzoefu na hii ishu nije dm?Fungua duka la mahitaji ya nyumbani au uza na badilisha mitungi ya Gesi.
Njoo Dm.Una uzoefu na hii ishu nije dm?
Hapo kwenye mahitaji ya nyumbani penyewe kwa 3mil atafute tu frem isio bei mbaya, atafanya biashara.... Mahitaji ya nyumbani au bidhaa zinazohitajika kila siku ni biashara nzuri.Fungua duka la mahitaji ya nyumbani au uza na badilisha mitungi ya Gesi.
kwa huo mtaji itatosha mkuuFungua duka la simu used kutoka znz hapo, (smart phone
Hii biashara ikoje mzigo unachukulia wapiAloo Kam una akili fungua cement ,jk wall putt, andika ,fungua popte kwa mtaji huo unatoboa vzr tu Ila uwe ngangari mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app