Kabisa mwaya!

Wewe una bahati ,
Umepona zidi ya huo ujinga.
Ni ujinga kweli na “ Wajinga Ndiyo Waliwao”
Halafu baada ya muda wanaanza kuzikumbuka hela walizoibiwa na kuzitapanya kwa malaya.
Kisha kuanza kusumbua watu kubipbip na kuombaomba hisani.
Watu wanakwambia “enzi zake huyo usimuone hivyo” unaulizila enhee nini Kwani alikuwaje ?
Unaambiwa alikuwa tupatupa a.k.a chimwaga

Unaambiwa alikuwa hashikiki humwambii kitu kwa starehe na wanawake !
Haambiliki!
Hapo sasa wakati huo hakuna mchepuko unamjua Kwa kheri wala la shari.
Hata yule mtoto wa kufikia alokuwa akijifanya kumsomesha na kumlea hana habari naye abadan asilani!