Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 786
- 4,633
Hiki ulicho positi hapa ninawasiwasi huko shuleni unafanya vibaya dalasani.
Mlungula ndo nini mkuuToa mlungula mkuu.
Raphaa,stori za kunywa al-kasusu nawe zinakutesa? Chukua mahela uende ukale bagia na togwa wewe!Hiki ulicho positi hapa ninawasiwasi huko shuleni unafanya vibaya dalasani.
Rushwa bila shuruti mkuu.Mlungula ndo nini mkuu
Sawa mkuu ila kama mada hujaipenda sio lazima u commentIla utoto raha sana, muda wote unakuwa unawaza ujinga ujinga tu...
Nielekeze jinsi ya kuweka attach bs kwenye uz n.kRushwa bila shuruti mkuu.
Hizo pesa hazitanipa ninachokipata kwake. Namchagua yeye!Hv ukipewa mil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Wote mnakaribishwa@shunie
make apo kwanza nche kwa sauti ya manara hahahahahahaNitawapa na huyo mpenzi wangu kama asante
Mtajipaka mafuta ya taa mpauke.Chukua mahela wewe!Hata nikipewa
Hizo pesa hazitanipa ninachokipata kwake. Namchagua yeye!
Mpenzi wako nini? afe, muachane, au nini kimpate? Japo ni mchezo wa kijinga ila Be specific tuchague.Hv ukipewa mil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Wote mnakaribishwa@shunie
Anatoa nani?Hv ukipewa mil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Wote mnakaribishwa@shunie
Wengine sufiria la kande, pilipili na maziwa mgando linatosha.Milioni 500 inakupa mpenzi mwingine chap chap, lakini mpenzi hawezi kukuoa milioni 500. Anyway, milioni 500 nyingi sana. Kibongo bongo milioni 5 tu mpenzi anakanwa
Hafi ila hurusiwi kuwasiliana nae kwa namna yeyote ileMpenzi wako nini? afe, muachane, au nini kimpate? Japo ni mchezo wa kijinga ila Be specific tuchague.
type Amen ama ufe!Hili jukwaa gani kwanza usikute nipo Facebook
Unamtetea sana mkuu kwema?Awage "mupore"!
Ni tajiri mkubwaa kaja na mahera yake sasa anataka akupe 500 ili umuache amuoe yeyeAnatoa nani?