Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,666
- 99,361
Nitawafundisha mtaa mzima huku nimewasimamia kwa nyuma.Hakikisha nikinunua mkebe unarudi nyumbani unajua kupima 37°
Nitawafundisha mtaa mzima huku nimewasimamia kwa nyuma.Hakikisha nikinunua mkebe unarudi nyumbani unajua kupima 37°
Kizanaki.Mambo ya simba nyanaume haya…kisukuma eeh?
Ooh,kumbe!Kizanaki.
Sasa hapo ni humu tu 👇Mshukuru tumesh8ka simu tu.Tukipanda na kuning'inia kwenye stendi za teevees mtafanyaje?
Hela tunatafuta. Je,Moyo kama wake nitaununua wapi?Mtajipaka mafuta ya taa mpauke.Chukua mahela wewe!
Mamoyo kibao tu mtaani.Shauri yako.Hela tunatafuta. Je,Moyo kama wake nitaununua wapi?