Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Yatakuua
Yatakuua
Siyo angechumishwa msusa na kuachiwa ili aje kusimulia kwanza?Ningetumia mil 2 hiyohiyo kumtuma akajaribu kumuua mafwele…najua angelawitiwa na kuuawa.
🤣🤣🤣🙌🏾Million 500 mawe au maandazi toa ufafanuzi?
Nayaonyosha haswa...Yatakuua
Kazi kweli!Kwa uzi wa aina hii,huyo Bibi yake atakua Kijijini huko anatafuna tu mihogo mibichi na juice ya miwa.
Mimi naomba uninunulie mkebe(nasikia zamani mliita kampasi)uliokamilika nijiandae na mitihani ya la nne mkuu.Thank God likizo itaisha na mtarudi shule
Ndio kamsimu kao eeh?Thank God likizo itaisha na mtarudi shule
Ngoja tuone labda mdude atarudi kutusimulia.Hivi unamjua vizuri mafwili ?Siyo angechumishwa msusa na kuachiwa ili aje kusimulia kwanza?
Anapenda sana mikungu?Alaye mikungu na aliwaye mkungu wote ni mashoga mkuu!Ngoja tuone labda mdude atarudi kutusimulia.Hivi unamjua vizuri mafwili ?
No way out jooh!🤣🤣😎Hii tu namchuna ngozi mzima mzima kabisa!
View attachment 3610059
Mtu mwenye hela za ili abaki nae yeyeTukipewa na nani?
🤣🤣🤨Anapenda sana mikungu?Alaye mikungu na aliwaye mkungu wote ni mashoga mkuu!
Ndio kamsimu kao eeh?
Wote ni manzi ga Nyanza!
Hakikisha nikinunua mkebe unarudi nyumbani unajua kupima 37°Mimi naomba uninunulie mkebe(nasikia zamani mliita kampasi)uliokamilika nijiandae na mitihani ya la nne mkuu.
Mambo ya simba nyanaume haya…kisukuma eeh?Wote ni manzi ga Nyanza!
Mshukuru tumesh8ka simu tu.Tukipanda na kuning'inia kwenye stendi za teevees mtafanyaje?Wakati wao huu wa kutuletea michezo yao ya shuleni