Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,582
- 99,118
Ameleta pwenti matata sana.Hata wamvunje miguu,nipo upande wake tu.Unamtetea sana mkuu kwema?
Ameleta pwenti matata sana.Hata wamvunje miguu,nipo upande wake tu.Unamtetea sana mkuu kwema?
At age <65 sawa ila at >65 nadhani nitajiuliza sana na kama tupo kwenye absolutely good terms naikataa.Hafi ila hurusiwi kuwasiliana nae kwa namna yeyote ile
Sio kawaida yako! au umelewa?Ameleta pwenti matata sana.Hata wamvunje miguu,nipo upande wake tu.
Tukipewa na nani?Hv ukipewakmil 500 pembeni na hapa mpenzi wako wewe unachagua nini?
Kulewa jumatano?Unataka muhindi aniifurushe mzigoni?Ingekuwa angalau juma sita sawa!Sio kawaida yako! au umelewa?
Na bibi yake!Tukipewa na nani?
kumbe una siku maalumu hongera mkuu!Kulewa jumatano?Unataka muhindi aniifurushe mzigoni?Ingekuwa angalau juma sita sawa!
Kwa uzi wa aina hii,huyo Bibi yake atakua Kijijini huko anatafuna tu mihogo mibichi na juice ya miwa.Na bibi yake!
Anakudanganya huyo.Kijijini kwetu tungekuambia anakusyenteka ili akuzunguke azichukue yeye.Usimuamini.Kuna member fulani alikataza mambo ya kupenda kupewa pewa vitu
Yap! Timings!kumbe una siku maalumu hongera mkuu!
🤣Anakudanganya huyo.Kijijini kwetu tungekuambia anakusyenteka ili akuzunguke azichukue yeye.Usimuamini.
Ungemuua kama Isaka anatolewa kafara au ungemvizia na rungu?Ila ingekuwa ni suala la ukweli ningewaomba wanipunguzie pesa wanipe mil 2 tu yaan pamoja na kumuua huyo mpenzi mwenyewe 🤒
Ningetumia mil 2 hiyohiyo kumtuma akajaribu kumuua mafwele…najua angelawitiwa na kuuawa.Ungemuua kama Isaka anatolewa kafara au ungemvizia na rungu?