Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,234
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
NA ILE inayosema
ili upate uzima wa milele lzm unywe divai, na kama wewe ni unaathirika
na hio divai uzima unapita kushoto! we huupati ng'oo!
mi mwenyewe napiga hesabu za kuhamia huko kwenye mapilau na biriani!
vitimoto vinanidhuru mno.
Mashehe wametoa tamko kuwa milion ya kuruwani (ring tone) ya kwenye sim ni Haram. Wale wote ambao wameweka kama milio ya kuita au Kupokelea waitoe haraka kwasababu milio hiyo inatakiwa kusikika sehem husika tu na sio kwenye sim. Ilishaharamishwa na mufti wa Saudia toka mwaka 2008 ina wanashangaa watu wamekuwa viburi.
Si kila sehemu inasomwa au kusikilizwa Quran! Mfano! Chooni! Sasa unapoweka mlio wa simu wa Quran ikatokea umeenda na simu chooni alafu ikaanza kuita! Hapo Ndiyo tatizo linaanza!
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
si kila sehemu inasomwa au kusikilizwa quran! Mfano! Chooni! Sasa unapoweka mlio wa simu wa quran ikatokea umeenda na simu chooni alafu ikaanza kuita! Hapo ndiyo tatizo linaanza!
Hapo red naomba kukuuliza hivi kwani nchi za waarabu na nchi kama tanzania, uganda, kenya, ethiopia na nyingine unazozifahamu wewe ambazo si za waarabu zipi ni maskini?. Naomba jibu tafadhali..................
ndugu vp kuhusu hii
Kuruwani ndio nini?
Mwisho wake waislamu watawekeka milio kama hii kwenye simuMashehe wametoa tamko kuwa milion ya kuruwani (ring tone) ya kwenye sim ni Haram. Wale wote ambao wameweka kama milio ya kuita au Kupokelea waitoe haraka kwasababu milio hiyo inatakiwa kusikika sehem husika tu na sio kwenye sim. Ilishaharamishwa na mufti wa Saudia toka mwaka 2008 ina wanashangaa watu wamekuwa viburi.
View attachment 156374Si kila sehemu inasomwa au kusikilizwa Quran! Mfano! Chooni! Sasa unapoweka mlio wa simu wa Quran ikatokea umeenda na simu chooni alafu ikaanza kuita! Hapo Ndiyo tatizo linaanza!
Kuruwani ndio nini?
ndio KOLOANI
Maluwani
Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?
Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.