Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Status
Not open for further replies.

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,884
Reaction score
2,787
Mashehe wametoa tamko kuwa milion ya kuruwani (ring tone) ya kwenye sim ni Haram. Wale wote ambao wameweka kama milio ya kuita au Kupokelea waitoe haraka kwasababu milio hiyo inatakiwa kusikika sehem husika tu na sio kwenye sim. Ilishaharamishwa na mufti wa Saudia toka mwaka 2008 ina wanashangaa watu wamekuwa viburi.
 
Mmmh ndio ile inayowekwa na kampuni za simu ama ni ipi?
 
maagizo yametolewa unaofuata ni utekelezaji tu.
 
Hii dini ni noma. Terms and conditions kibao.

NA ILE inayosema ili upate uzima wa milele lzm unywe divai, na kama wewe ni unaathirika na hio divai uzima unapita kushoto! we huupati ng'oo!

mi mwenyewe napiga hesabu za kuhamia huko kwenye mapilau na biriani! vitimoto vinanidhuru mno.
 
Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?

Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.

We ni kiaza kweli kweli
 
Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?

Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.
wanasahau na Clip za Sheikh Ilunga, hata Video zake bado kuna picha za marehemu Shekh Makaburi Sheikh Igogo zote hizo wanazisahau ?
Km mtu ana copy ya Video huyo ukimpigia lazima utakuta ana ringtone ya ajabuajabu
 
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
 
NA ILE inayosema ili upate uzima wa milele lzm unywe divai, na kama wewe ni unaathirika na hio divai uzima unapita kushoto! we huupati ng'oo!

mi mwenyewe napiga hesabu za kuhamia huko kwenye mapilau na biriani! vitimoto vinanidhuru mno.

Hama hata sasa hakuna anaekuhtaji,tuachie kiti moto chetu...
 
Dini yenye utaratibu sio km hio mpaka shoga anaongoza ibada lol!!

Teh teh teh!

Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?

Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.

Nasubiri jibu tafadhali!
 
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa

Mie naishiana nao kwenye mambo ya kiroho tu kwengine najiongeza!!!!!
 
Teh teh teh!

Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?

Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.

Nasubiri jibu tafadhali!

Labda tungewauliza wanaowafungisha ndoa mkuu au viongozi wa dini waliojitangaza wazi wazi!!!!!!!
 
Sasa si njia ya kueneza dini au? Il hawa jamaa bana, walishasemaga mpk baibo zitolewe guest houses na kwenye lodges.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom