pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
- Thread starter
- #341
Mpaka tufike site ndo tunaweza kukupa estimate nzuri maana Raman za nyumba zinaukubwa tofautiRennovation mnaweza fanya kwa bei gani? Nipe estimates za nyumba ya vyumba vitatu ikiwa nitataka mfumue paa lote apigwe msauzi,gypsum pamoja na kumwaga tiles ndani plus alluminium windows?
Pili as unafanya Renovation tutataka kujua material unayopendekeza Mfano tiles gani na grade yake aluminum nazo zipo katika grade tofauti so majibu sahihi ni mpaka kuona ukubwa wa Nyumba au kama waweza kututumia Ramani uliyojengea hiyo nyumba kwa WhatsApp 0763772636 itakuwa rahisi kukupa estimate nzuri