Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Square 99
Roof type gypsum
Window Aluminum grade two
Tunafanya wiring
Floor tiles spain/frach grade two
Finishing ya nje Rangi
Makaro tunaweka na kuchimba
Karibu
 
Gypsum sio roofing material ni ceiling material mi nimeuliza roofing
Doooh sijui nilikuwa nawaza nini ata yaan ndo nimerudi kusoma upya kuona kama ndicho nilichoandika au laah
Very sorry
 
Doooh sijui nilikuwa nawaza nini ata yaan ndo nimerudi kusoma upya kuona kama ndicho nilichoandika au laah
Very sorry
Bati msauz mgongo mpana
77a87c04c3f0621cf305208cc0934d95.jpg
3ce430805063a0a57ee90716ce165045.jpg
 
Mkuu napenda kujua hii 54 ni kila kitu kasoro Kiwanja,yani nikiwapa natarajia kuhamia tu?
Yes wise comedian utakachotakiwa kufanya ni kufuatilia kibali cha ujenz ambapo kama hauna ramani tutakuchorea ukishapewa kibali sisi kaz yetu ni kujenga na kukukabidhi nyumba
 
8f5cba4c97df08a60803ca16318b312c.jpg
2bd8be25a2a0701aa535a0e21a704d77.jpg
558baab9e78fcdb4871a8c40e5ee5a7c.jpg

Project yetu ya Vyumba viwili
Inafanyika Ruvu
Ni Nyumba ya Vyumba viwili
Tunatumia matofali ya interlock as lilikuwa pendekezo la mteja wetu
Tutaweka madirisha ya Aluminum
Tutaweka milango ya Aluminum as ni pendekezo la mteja wetu
Tutaweka tiles Spain grade two as ni chaguo la mteja wetu
Tutafunga mfumo wa maji na vifaa vya maji kama masinki shower kutoka uturuki kama mteja alivopendelea
Garama ya nyumba hii hadi kumkabidhi mtejaa wetu ni mil 28 tu
Nyumba ni Vyumba viwili self
Jiko
Store
Public toilet
Sebule dining
Karibuni sana Nyumba yako Maisha yako Tunajenga popote Tanzania

Hivi interlocking blocks na hizi tofali za kawaida. Zipi ujenzi wake unakuwa imara.? Zipi ni cheap katika same area ya ujenzi.?
 
Hivi interlocking blocks na hizi tofali za kawaida. Zipi ujenzi wake unakuwa imara.? Zipi ni cheap katika same area ya ujenzi.?
Zote zipo imara sema interlock ni vidogo na zinaenda tofali nyingi
As tunatumia kwenye ukuta tu bt msingi tunatumia tofali za block nchi sita ili kujenga msingi imara as ujuavyo ubora wa nyumba unaanzia kwenye msingi
 
ok, How about cost per unit area. Kati ya interlocking na za kawaida. Zipi zina cost kubwa.?

Na kuhusu plaster, je interloching blocks zinapigwa plasta kama hizi tofali za kienyeji.? Na je plaster yake inadumu kama katika hizi za kienyeji.?
 
hizi bati hazipauki zikawa kama vidonge vya rangi mbili.?
Hatuwezi kukuwekea kitu feki kwa sababu mkataba wetu na wateja ni kuwa baada ya kukukabidhi Nyumba itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa Muda wa miaka 3 so kwa namna hiyo lazima tuhakikishe tumeweka bidhaa iliyobora na yenye viwango maana tukikuwekea bati feki means hasara ni kwetu kama kampuni
 
na how about jibu la post namba 370.?
 
Jamani, nimesoma uzi wote mbona sijaona mtu toyote aliejitokeza hapa kulalamika ili mimi nibadilishe mawazo..? Usije kukuta hawa jamaa wako siriaz na ni kweli wanajenga kwa hiyo bei..!! 😀😀 Please kama umetapeliwa au umesikia mtu ametapeliwa na hawa jamaa naomba uweke ushahidi hapa maana niko kwenye hatua za mwisho za kutaka kuwatafuta hawa jamaa. Chonde chonde nikiibiwa itakua ni wewe umesababisha..!!
 
Kwa yeyote aliyetapeliwa na sisi mpaka dakika hii naomba ajitokeze hadharan aeleze na ushahidi namna alovotapeliwa by the way kwa waliopo Dodoma kuna nyumba za wabunge na wafanyakaz tunajenga kwa mwenye kupenda kuona anakaribishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom