Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Rennovation mnaweza fanya kwa bei gani? Nipe estimates za nyumba ya vyumba vitatu ikiwa nitataka mfumue paa lote apigwe msauzi,gypsum pamoja na kumwaga tiles ndani plus alluminium windows?
Mpaka tufike site ndo tunaweza kukupa estimate nzuri maana Raman za nyumba zinaukubwa tofauti
Pili as unafanya Renovation tutataka kujua material unayopendekeza Mfano tiles gani na grade yake aluminum nazo zipo katika grade tofauti so majibu sahihi ni mpaka kuona ukubwa wa Nyumba au kama waweza kututumia Ramani uliyojengea hiyo nyumba kwa WhatsApp 0763772636 itakuwa rahisi kukupa estimate nzuri
 
Mkuu kwa mfano wa hiyo Nyumba ya m.75 nikikwambia mnijengee ila finishing ntafanya Mwenyewe,nyie mjenge scratch tu,msiweke mirango wala madilisha wa kupaka rangi wala kuezeka,...hili linawezekana!?na kma linawezekana unaweza nikachangia sh.ngapi approximately!
 
Sijakuelewa kiongozi wangu wewe hapo unataka tujenge mpaka kwenye lenta halafu finishing ufanye wewe? Yaan kuezeka, kupaua nk viwe juu yako au unataka sisi tujenge hadi wapi?
 
Mkuu, kazi nzuri sana. Ngoja nitafute kati ya 70 au 80M, nikiwa tayari tutaongea kuhusu nyumba ya kulala yenye gholofa moja (vyumba 4 vya kulala, kusiwe na ofisi). Ahsante.
 
Project nzuri sana. Keep it up wakuu.

One day YES. Ngoja niendelee kupambana.

-Kaveli-
 
Ndio mkuu hivyo hivyo
Ok sawa mkuu sasa hapa tunachoangalia ni mchoro wa Raman unaukubwa gani then as from Thea ndo tuna tathimin coz kila ramani inaukubwa tofauti kulingana na needs ya mteja bt kama ni Raman ya kawaida tu around 30M itatosha
 
Mkuu hongera kwa kazi nzuri. Nina swali, kwa vyumba vya saizi ya kawaida naomba makisio ya gharama haswa za ufundi, na ikiwezekana malighafi. Nyumba yenye Vyumba 8, kuweka gypsum, skimming nakupiga rangi ndani.
 
Mungu aibariki kazi ya mikono yako kaveli ufanikiwe

Amina Amina! Mbarikiwe pia kwenye hii project yenu.

Ya Mungu mengi. Ipo siku mbeleni huko nitarudi kuutafuta uzi huu kwa ajili ya vitendo.

Insha-Allah Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi ktk hustle zetu vijana nasi tutimize ndoto ya kumiliki nyumba nzuri. cheers

As long as unafanya kazi kwa juhudi na umemtanguliza Mungu hakika utafanikiwa
 
Ok sawa mkuu sasa hapa tunachoangalia ni mchoro wa Raman unaukubwa gani then as from Thea ndo tuna tathimin coz kila ramani inaukubwa tofauti kulingana na needs ya mteja bt kama ni Raman ya kawaida tu around 30M itatosha
Poa mkuu ngoja mkewangu atoke ulaya nimchune visenti kidogo niongezee,hopefully ntakuona
 
8f5cba4c97df08a60803ca16318b312c.jpg
2bd8be25a2a0701aa535a0e21a704d77.jpg
558baab9e78fcdb4871a8c40e5ee5a7c.jpg

Project yetu ya Vyumba viwili
Inafanyika Ruvu
Ni Nyumba ya Vyumba viwili
Tunatumia matofali ya interlock as lilikuwa pendekezo la mteja wetu
Tutaweka madirisha ya Aluminum
Tutaweka milango ya Aluminum as ni pendekezo la mteja wetu
Tutaweka tiles Spain grade two as ni chaguo la mteja wetu
Tutafunga mfumo wa maji na vifaa vya maji kama masinki shower kutoka uturuki kama mteja alivopendelea
Garama ya nyumba hii hadi kumkabidhi mtejaa wetu ni mil 28 tu
Nyumba ni Vyumba viwili self
Jiko
Store
Public toilet
Sebule dining
Karibuni sana Nyumba yako Maisha yako Tunajenga popote Tanzania
 
Ni Vyumba viwil self vyote ukubwa 4.5*4.5 kwa chumba then sebule choo cha public, dining, store na jiko karibu sana mikoan kote tunafanya kaz mpaka zanzibar
Mil 32 ni nyumba ya square mita ngapi?
Roof finishing ya aina gani?
Window type IPI? Aluminium or timber
Door type gani?
Ni mpaka wiring na plumbing?
VP kuhusu floor finish ni terazo,tiles au cement ya kawaida
Finishing ya nje mnaweka nini? Chipping au rangi kama rangi ni ya quality gani weather guard au emulsion.
makaro ya majitaka yote mnachimba
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom