House4Sale Nyumba mpya inauzwa Dodoma, Nkuhungu ya kumalizia baadhi ya matengenezo

Embassy

Member
Feb 4, 2012
34
16
Muundo wake Vyumba vitatu vya kulala kmoja n master bedroom seble jiko dining stoo na choo na bafu (CommonToilet)

Huduma zote maji umeme barabara vpo site mtaa mzurii uliojengeka kisasa sanaa
Ukubwa wa eneo sqm 450 (Document HATI kubwa)

Bei n Tsh Million 29.5 tuh
Nyumba imefungwa blanda kwa ajil ya body
Imeshawekwa flow kwa ajili ya Tales
Mfumo wa maji ndan

Pia Wireling ya umeme nyumba yote tayar imefanya
Hii n zaid ya Offa
N.b Nyumba imejengwa kwa viwango boraaa sana vya ujenzi

Mawasliano call _ watsap 0718436694

20230624_180257.jpg
 
View attachment 2668933
Rekebisha baadhi ya maandishi sawa na post #2
 
Hizo nyumba zitalazimika ku share fence moja bila shaka. Au itabidi isiwepo kabisa. Maana kinyume na hapo, majirani hawatasalimiana.
 
Hapo itakuwa kuna kaugomvi baina ya hao majirani wawili.

Twende kwa step 😳😏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom