pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #381
Karibun sana kwa Huduma bora zaidi Nyumba yako Maisha yako
Asante Mr kipago barikiwa mkuukazi nzuri sana
Tanzania inaanza kuonyesha mwanga mkuu ujenzi holela bila taaluma ni hatari kwa pesa zako
Blessed
Samahani nina shida kidogo naweza kuja PM au hata namba nichukue nikutafutie WhatsAppAsante Mr kipago barikiwa mkuu
Chukua no nitafute WhatsApp bossSamahani nina shida kidogo naweza kuja PM au hata namba nichukue nikutafutie WhatsApp
Moolizy nimekusoma PM usione kimya nitakujibu bado nachek namna ya kulifanyia kazi jambo lako kiongozSamahani nina shida kidogo naweza kuja PM au hata namba nichukue nikutafutie WhatsApp
NitashukuruMoolizy nimekusoma PM usione kimya nitakujibu bado nachek namna ya kulifanyia kazi jambo lako kiongoz