Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Karibuni wapendwa kesho ofisi zetu zote zitakuwa wazi kwa watakaopenda kuja kututembelea kuona na project zetu mnakaribishwa kabisa karibu tukujengee Nyumba ya Ndoto yako
Je hakuna masharti ya ujengaji?!kwa mfn nina kiwanja ambacho hakijapimwa, je mnajenga pia ktk viwanja vya aina hiyo?!
 
Tunajenga kwa sababu sisi pia tunahusika na upimaji wa viwanja so tunaweza tukakubaliana kuwa tukujengee na kukupimia kiwanja ila pia kama hujajiandaa kupima tutaangalia kama kiwanja chako kiko kwenye sifa ya makazi kama kina sifa tunajenga bila shida
 
kwaio ww unataka vyumba viwili waseme60m???
Sija maanisha hivyo ila At least zirandane na NHC. Nakumbuka statement ya manager mmoja wa NHC kama sijakosea atakuwa Nehemia Mchechu. Alisema ktk Estate business NHC ndio wanabei za chini kuliko wote nchini.

Iweje hii Private Comp. iwe more cheaper as compared to NHC, keep in mind NHC ardhi hununua kwa bei ya chini (ya serikali) au kupewa bure. Na wakati mwingine miundo mbinu huwekewa bure.

Kama umewahi kujenga. Nyumba zilizopo hapo kwenye picha hapa huwezi kuzijenga hata ukipewa 40M
 
Ulikuwa unataka tukujengee kwa bei gani mkuu? NHC ni wafanyabiashara so lazima akueleze ivo ili kukuvutia
Sisi tunajenga nyumba kuanzia mil 32 kiwanja cha mteja material kila kitu juu yetu hii nyumba ya mil 32 ni two bedrooms na tunatumia bati za msauz, tiles za France grade two Gypsum na baada ya kumaliza ujenz wa nyumba yako itakuwa chini ya kampuni kwa kipindi cha ndani ya miaka 3 chochote kitakachoharibika tutarekebisha kwa garama zetu sisi na kama wataka kuja site kuona baadhi ya nyumba zetu kudhibitisha nisemayo karibu sana
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi mzr
 
je ghorofa mtajeng kw tsh ngap?
Gorofa moja zinaanzia milion Mia moja na kumi
e8c1244d9e641d9dfdc8d629422c04fa.jpg
kama hiyo
 
Mkuu mimi nina swali moja. Sijaelewa ni kitu gani kimefanya gharama ya nyumba ya vyumba vitatu ipae kwa namna hiyo toka 32M mpaka 50M+ kwa ile ya vyumba vitatu. Kwa maana kwa makadirio nyumba ya vyumba viwili inaweza kuwa 80 sqm, chumba cha tatu kinachoongezeka kitakuwa na say 20 sqm ( makadirio ya 5m X 4m ) kitu ambacho kwa ratio ya kawaida tuu nyumba ya vyumba vitatu angepaswa mtu aongeze robo ya 32M ambayo ni 8M. Nini cha ziada kinachofanya nyumba ya 3 rooms iwe na 18M+ toka katika ile ya 2 rooms.?
 
Asante kiongoz kwa swali zuri tofauti kubwa hapo ni kwenye square meta boss
Nyumba ya Vyumba viwil ni square 85 nyumba ya Vyumba vitatu ni sqaure 99
Nyumba ya Vyumba viwil ni masta moja ya 5.5*5 na single moja ya 3.5*4
Vyumba vya nyumba ya Vyumba vitatu ni 5.5*5, 5.5*5 na 3.5*4 sebule ni 6.5" 6
Endapo kama utataka tukupunguzie bei then itabidi tupunguze size za vyumba
0b429486141968147fa29faba11be007.jpg
sample za vyumba
 
Ohooo......
Hizi sasa ndio thread za kusoma......
Hebu nipe quote ya 3 bedrooms.....na mnazo mlizojenga ambazo naweza kununua.......?......
Mna sample iliyopo Arusha niende nikaone......?.......

Miss, nilikukosa siku nyingi sana. Nimefurahi kukuona tena. Haya ndiyo maneno ya kujadiliana, umesema sahihi. Akikuelekeza uniambie na mimi.
 
Nilishamjibu huyu ndugu pitia post za nyuma utaona
 
Back
Top Bottom