Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

94d50ab551ea7c8722031fc25f0395a6.jpg
Acha ku run into conclusion bro
Hii ni sample ya nyumba ya Vyumba viwil bei mil 32 karibu tukuhudumie
 
Unatangaza nyumba ya vyumba 2 kwa 32 M unaleta picha la mjumba mkubwa wa 100M hapa pia tutalalamika Sizonje analeta hali ngumu wakati unashindwa kua muwazi ili upate wateja kama umeshindwa kua makini na hili basi hata ujenzi wenu utakua magmash tupu.
Wakati mwingine nakuwa offline so usione kwamba nimepotezea no mostly WhatsApp ndo tunajadil na kutuma picha nyingi kirahisi hiyo nyumba ya mil 100 nimeweka coz wengine wanataka gorofa
9f1c71b8bc8bfc8bf7ed4a4db8684251.jpg

Hiyo ni sample ya nyumba ya Vyumba viwil karibu kwa Huduma bora
 
Ahsante kamada kwa picha , hiyo ya kwanza mmejenga wapi ningependa kwenda kuiona.
 
Ahsante kamada kwa picha , hiyo ya kwanza mmejenga wapi ningependa kwenda kuiona.
Karibu kigambon mbele ya kibada tumejenga kama sita sehemu moja za mteja amefanya apartment kama una muda waweza kuja kuanzia saa nne kuziona pia Bunju B ila Bunju sio nyingi kama za huku kigambon
 
Kwa faida ya wengi, jitahidi utuwekee picha ya hiyo mliyojenga kwa mil32 huko Kibada.
Sababu hizo picha ulizoweka sio actual ila ni plan.
Asante kaka nitafanya ivo nasubiria wamalizie kupaka rangi then nizipige nje na ndani halafu nitazitupia hapa
 
Ohooo......
Hizi sasa ndio thread za kusoma......
Hebu nipe quote ya 3 bedrooms.....na mnazo mlizojenga ambazo naweza kununua.......?......
Mna sample iliyopo Arusha niende nikaone......?.......
 
Ohooo......
Hizi sasa ndio thread za kusoma......
Hebu nipe quote ya 3 bedrooms.....na mnazo mlizojenga ambazo naweza kununua.......?......
Mna sample iliyopo Arusha niende nikaone......?.......
Arusha zipo kwenye last finishing tumejenga mto wa mbuu, kijenge na Moshi Kibosho
Ila hapa kuna some zilizojengwa
ea772d51483e38f5e627469eb6c21dcc.jpg
5a89915189f4dcfae6840586e47c7fde.jpg
three bedrooms
 
Kwa Huduma za uhakika na garama nafuu kabisa karibu one2one tukujengee kwa Huduma ya malipo kidogo kidogo
 
Ohooo......
Hizi sasa ndio thread za kusoma......
Hebu nipe quote ya 3 bedrooms.....na mnazo mlizojenga ambazo naweza kununua.......?......
Mna sample iliyopo Arusha niende nikaone......?.......
Ndio ofisi zetu kwa Arusha zipo Namvua Plaza Gorofa ya nne ukifika hapo utaonyeshwa na kuweza kutembelea project zetu za sehemu mbalimbali kwa pande za Arusha
 
Back
Top Bottom