pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #201
Nimeipenda hyoMkuu mimi ninakiwanja changu..ninataka kujengewa nyumba ya million 32..lakini hela sina ila nina gari yenye thamani kupitiliza hiyo pesa 32m..na haijatumika..je mnakubali kuichukua gari halafu mkanijengea hiyo nyumba? Asante
Huyu tulishakubaliana na ujenz umeanzaNimeipenda hyo
Aisee vzuri sanaHuyu tulishakubaliana na ujenz umeanza
Karibu sana my diaAisee vzuri sana
Kwanini huamini mkuu wakati tofauti ya Vyumba vinne na Vyumba viwil ni square meta material zote ni quality moja
Asante kwa ushauri lakini ungefuatilia mpaka mwisho ungeona kuwa huyu mtu nilishamjibu na sample zote nilimpa za project zote na tofauti ya Vyumba kama alivyohitajUKIAMUA KUFANYA BIASHARA NDUGU YANGU, KUWA MUWAZI, MTEJA AKIULIZA SWALI JIBU KWA UFASAHA, USIFICHEFICHE; SIKU ZOTE MTEJA NI MFALME. SASA WEWE UNAAMBIWA WEKA PICHA YA 32M UNASUASUA, KWANI UNAONA TABU GANI KUWEKA PICHA HIYO?????? UNAPOSEMA NYUMBA YA 32M ONESHA NA PICHA YAKE; NYUMBA YA 72M ONESHA PIA PICHA YAKE, HIYO NDIYO BIASHARA, VINGINEVYO TUNAKUWA NA MASWALI MENGI YASIYOKUWA NA MAJIBU!!!!!!!!!
Mkuu hizi ni hesabu za Vyumba viwili?Hesabu hazidanganyi,na sisi ni wataalam pia;
Angalia mchanganuo hapa.
Cost per gross floor area = 650,000/=
(1).Size ya vyumba viwili vya kulala=2x4.5x4.5metre= 40.5sqmx650,000= 26,325,000
(2).Size ya sebule = 4x3.5metre = 14sqmx650,000 = 9,100,000
(3).Dining room = 3x2.7metre = 8.1sqmx650,000 = 5,265,000
(4).Jiko = 2.1x2.1metre = 4.41sqmx650,000 = 2,866,500
(5).Baraza = 1.2x2metre = 2.4sqmx650,000 = 1,560,000
TOTAL = 45,116,500 Tsh VAT inclusive.
Nawakilisha wadau,huo ndio ukweli wa kitaalaam.
ushawahi kulia?Inachukua muda gani kumuliza kujenga, mkipewa kazi?
Nyie wataalam bei zenu wanaweza serikali na taasisi zake.Hesabu hazidanganyi,na sisi ni wataalam pia;
Angalia mchanganuo hapa.
Cost per gross floor area = 650,000/=
(1).Size ya vyumba viwili vya kulala=2x4.5x4.5metre= 40.5sqmx650,000= 26,325,000
(2).Size ya sebule = 4x3.5metre = 14sqmx650,000 = 9,100,000
(3).Dining room = 3x2.7metre = 8.1sqmx650,000 = 5,265,000
(4).Jiko = 2.1x2.1metre = 4.41sqmx650,000 = 2,866,500
(5).Baraza = 1.2x2metre = 2.4sqmx650,000 = 1,560,000
TOTAL = 45,116,500 Tsh VAT inclusive.
Nawakilisha wadau,huo ndio ukweli wa kitaalaam.
Miezi mitatu kuna mikataba kisheria ambayo lazima tuingie na mtejaushawahi kulia?
Thank ugood move and idea keep it up
Karibu sana kiongozgood move and idea keep it up
Asante kwa kuliona hilo ila naomba kukujulisha kuwa kabla ya kuweka hizo picha tuliomba ridhaha kutoka kwa hao wateja wetu wakakubali ndio maana tumetaja mpaka na majina yao maana walikubali wapo wengine ambao timewajengea wamekubali tupige picha ya majengo ila tusitoe majina yao nao tuliheshimu maamuzi yaoMnajenga vinzuri isipokuwa mmekosa kujali privacy ya mteja. Nimeona kwenye website yenu mmeweka nyumba mlizojenga mkitaja na majina ya wamiliki. Mbaya zaidi kuna mahali mtu kauliza bei ya nyumba ya mmoja wa mteja wenu, bila kujali privacy ya mteja mkaitaja bei hiyo. Hii sidhani kama ni approach nzuri. Jaribu kujirekebisha na kujitahidi kutunza privacy ya mteja