Habari wakuu sisi
www.one2onefocus.com tunahusika na ujenzi wa garama nafuu kabisa kwa shil mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwil sebule dining public toilet na jiko la kisasa tunatumoa material quality na zinazoenda na wakati kabisa
Faida utakazozipata ukijenga na sisi ni kama zifuatazo
1. Kama mteja hana ramani sisi kama kampuni tutamchorea bure kabisa bila malipo ya ziada
2. Unaweza kulipa 50% ya garama husika halafu nyingine ukalipa kidogo kidogo bila riba yoyote hadi nyumba yako inakamilika
3. Unaweza kulipa 50% ya garama halafu tukakujengea nyumba tutakukabidhi halafu 50% iliyobakia ukatulipa kidogo kidogo pamoja na riba ya 8% ya Deni lako ila hapa tunaweza kukuruhusu kuhamia kwenye nyumba yako huku ukiendelea kutulipa taratibu kulingana na makubaliano yetu
4. Nyumba yako itakuwa chini ya uangalizi wa one2onefocus limited kwa zaidi ya miaka mitatu chochote kitakachoharibika tutagaramia sisi bure kabisa bila garama zingine za ziada
Ofisi zetu zipo sehemu zifuatazo
Dar ( makao makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza
Mwanza
Buzuruga Plaza
Mtaa wa Buzuruga
Arusha
Namvua Plaza
Gorofa ya nne
Kwa mawasiliano maswal maoni
WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
Email pettymichael92@gmail. Com
Nyumba yako Maisha yako karibun sana