pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #41
Karibu sana mkuuGood good
Karibu sana mkuuGood good
Naweza kujengewa kama hii, yaani hivihivi kama ilivyo kwenye picha kwa pesa hiyo 32ml?Acha ku run into conclusion bro![]()
Hii ni sample ya nyumba ya Vyumba viwil bei mil 32 karibu tukuhudumie
Ndio inawezekana kabisa ila gadeni not inclusiveNaweza kujengewa kama hii, yaani hivihivi kama ilivyo kwenye picha kwa pesa hiyo 32ml?
Sijakuelewa kiongozNi vema sana mnavyo fanya lkn ukweli ukowapi wa kuniridhisha kimaelezo zaidi.
Sijakuelewa kiongozNi vema sana mnavyo fanya lkn ukweli ukowapi wa kuniridhisha kimaelezo zaidi.
Kwa faida ya wengi, jitahidi utuwekee picha ya hiyo mliyojenga kwa mil32 huko Kibada.
Sababu hizo picha ulizoweka sio actual ila ni plan.
Kwa faida ya wengi, jitahidi utuwekee picha ya hiyo mliyojenga kwa mil32 huko Kibada.
Sababu hizo picha ulizoweka sio actual ila ni plan.
Daa kaka nimeipenda sana hii threat yako, hakika ni ubunifu wa hali ya juu na kama kweli mtakuwa waaminifu kwa hakika mtapata wateja wa kutosha.Habar njema pia ni kwamba kwa wale wafanyakaz kuna njia mpya ulipaji waweza kutulipa nusu ya pesa inayotakiwa halafu pesa nyingine tukakukata kwenye mshahara wako kidogo kidogo
Kwa faida ya wengi, jitahidi utuwekee picha ya hiyo mliyojenga kwa mil32 huko Kibada.
Sababu hizo picha ulizoweka sio actual ila ni plan.
Umeme tunakufanyia wiring kila kitu ila mambo ya ununuzi wa nguzo ilo swala litamuhusu mteja maana hesabu tutakazokupigia tutakupa mchanganuo wake A to ZMimi naomba nikuulize kitu kaka
Vipi kuhusu umeme na maji?
Vinakuwa inclusive au ni gharama ya mteja kuvuta maji na umeme?
Asante kwa ufafanuzi mzuriUmeme tunakufanyia wiring kila kitu ila mambo ya ununuzi wa nguzo ilo swala litamuhusu mteja maana hesabu tutakazokupigia tutakupa mchanganuo wake A to Z
Pili kuhusu maji sisi tunakuwekea system yote ya maji kila kitu wewe mteja ni wajibu wako sasa kutuma maombi Dawasco/mowasco extra wakufungie maji so sisi tutaishia kwenye kufunga system yote ya maji
Asante kiongoz na karibuAsante kwa ufafanuzi mzuri
Asante kaka na karibuAsante kwa ufafanuzi mzuri
Mil 54 mkuuNyumba ya vyumba 3 inakuwa shs ngapi?
Hakuna nyumba tulizojenga mwasogwe mkuu na hakuna mahali niliposema tumejenga nyumba mwasongwe picha lazima nitaweka kuna vitu mafundi wanamalizia ili niweke picha kamil siwez kuweka picha ya nyumba ambayo bado hazijamaliziwa kupakwa rang nk coz maswal yatakuwa mengiMkuu kuwa mkweli acha utapeli umeambiwa onesha nyumba ya milioni 32 unaonesha zingine ila km ni nyumba zile karibu ya mwasonga ndio unasema nyumba zile kota ule ni uchafu mkuu.