pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #81
Well project nyingi tulizofanya ni za nyumba za Vyumba vitatu, vinne na kuendelea mostly ni za familia bt hizi za vyumba viwil tumefanya project chache coz ni za kibiashara zaidi apartments so hizi za vyumba viwil ni kama hiyo niliyoonyesha hazijamaliziwa ila kama ni kuona ubora wa kazi hizo picha za Vyumba vitatu vinne nilizotuma ulikuwa na uwezo wa ku questions kama tunakidhi viwango au laah bt all n all zikikamilika za Vyumba viwil nitazituma hapa coz nipo kujitangaza zaidiyaani nyumba zote hamjamaliza kujenga? Hakuna hata moja mliyojenga mkaimaliza kwa bei hiyo 32m ukaweka picha yake tukaona ikiisha inakuaje? au ndio tuendelee kusubiri mnamalizia. Yaani nyumba ikiisha picha hamna, ikiwa haijaisha picha zinakuwepo. Au kapuni imefunguliwa juzi juzi bado mpo kwenye finishing?