Anamaanisha ile kidogo ukilipa kabla nyumba haijaisha basi hutatozwa ribaMbona unaji changanya,number 2 , unavutia wateja kwa kusema unalipa kidogo kidogo bila riba,3 unachomekea riba ya 8%
Anyway wazo zuri lakini
Anamaanisha ile kidogo ukilipa kabla nyumba haijaisha basi hutatozwa ribaMbona unaji changanya,number 2 , unavutia wateja kwa kusema unalipa kidogo kidogo bila riba,3 unachomekea riba ya 8%
Anyway wazo zuri lakini
Asante kwa kunisaidia kufafanua kiongozAnamaanisha ile kidogo ukilipa kabla nyumba haijaisha basi hutatozwa riba
si uiweke tu Mkuu. binadam wengine huwa tunaamini na kupenda kitu kwa pichaKwanini huamini mkuu wakati tofauti ya Vyumba vinne na Vyumba viwil ni square meta material zote ni quality moja
Nimekuelewa mkuu nilijua ule uchafu wa Mwasonga ni wenu kaka.sasa nisaidie kwa uzoefu wako mkopo wa kumalizia nyumba yangu naweza kupata wapi?Hakuna nyumba tulizojenga mwasogwe mkuu na hakuna mahali niliposema tumejenga nyumba mwasongwe picha lazima nitaweka kuna vitu mafundi wanamalizia ili niweke picha kamil siwez kuweka picha ya nyumba ambayo bado hazijamaliziwa kupakwa rang nk coz maswal yatakuwa mengi
NB project nyingi tulizofanya ni za nyumba za Vyumba vitatu na kuendelea hizi za vyumba viwil ni apartments ndo ziko kwenye hatua ya mwisho
si uiweke tu Mkuu. binadam wengine huwa tunaamini na kupenda kitu kwa picha
Hanna contract na ma bank kama walivyofanya NHC kurahisisha kwa wasio na cash Ila wenyesifa za kukopesheka?!Karibu sana mkuu
Namba 2 nilivyomuelewa. Unaendelea kulipa wakati ujenzi unaendelea hadi ujenzi wa nyumba hiyo utakapokamilika. namba 3. Baada ujenzi kuisha. ila bado hujamaliza deni. hapo ndipo riba inapoingia. kwahiyo ukimaliza deni kabla nyumba haijaisha hamna ribaMbona unaji changanya,number 2 , unavutia wateja kwa kusema unalipa kidogo kidogo bila riba,3 unachomekea riba ya 8%
Anyway wazo zuri lakini
Ipo ila utatakiwa kwanza ulipe 50% then itakayobakia ndo utalipa kidogo kidogo kwa riba ya 8%Hanna contract na ma bank kama walivyofanya NHC kurahisisha kwa wasio na cash Ila wenyesifa za kukopesheka?!
Mil 70nyumba room 4 shilling ngapi??
Umenielewa sahihi kabisa kiongozNamba 2 nilivyomuelewa. Unaendelea kulipa wakati ujenzi unaendelea hadi ujenzi wa nyumba hiyo utakapokamilika. namba 3. Baada ujenzi kuisha. ila bado hujamaliza deni. hapo ndipo riba inapoingia. kwahiyo ukimaliza deni kabla nyumba haijaisha hamna riba
Mkuu hizi gharama hazijalishi nyumba inajengwa katika Mkoa gani?? yani bei ni sawa kwa kila MkoaMil 70
Mkuu kwa mfano nikihitaji vyumba 3,vyote vinakuwa self alafu bado mnaweka na choo cha public au inakuwaje?Ni Vyumba viwil self vyote ukubwa 4.5*4.5 kwa chumba then sebule choo cha public, dining, store na jiko karibu sana mikoan kote tunafanya kaz mpaka zanzibar
inapendeza Mkuu ,
unaona kama hii kaka ni moja Kati ya nyumba za Room mbil bt hazijamaliziwa ndo maana nataka kazi ikiisha ndo niweke![]()
Ndio mkuu lazima tukuwekee choo cha public mkuu maana wageni wakija kwako wataingia chumban kwako kujihudumia kiongoz? Jipu ni hapanaMkuu kwa mfano nikihitaji vyumba 3,vyote vinakuwa self alafu bado mnaweka na choo cha public au inakuwaje?
Ipo ila utatakiwa kwanza ulipe 50% then itakayobakia ndo utalipa kidogo kidogo kwa riba ya 8%
Huyo tutampigia garama za kumalizia then atatulipa nusu then hiyo nusu atachagua yeye kulipa kidogo kidogo bila mkopo au kujengewa na kulipa kwa mkopo wa asilimia nane kwa kipindi tutakacho kubaliana?Kwa mtu ambaye hajafanya finishing nyumba yake je mnamfayia kwa mkopo?