Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Nyumba ya milioni 32 inakuwa ya ukubwa gani mkuu? Hebu tupe details za kutosha hasa idadi ya vyumba na ukubwa wake na pia kama mnafanyakazi hata mikoani maana hali iliyopo sasa mifukoni nadhani nyie ndiyo mtakuwa kimbilio langu.
10*9 so ni mita 90 kwa ujumla wake
 
94d50ab551ea7c8722031fc25f0395a6.jpg
Acha ku run into conclusion bro
Hii ni sample ya nyumba ya Vyumba viwil bei mil 32 karibu tukuhudumie
Mil.32 hiyo nyumba?kwa tofari zipi na bati hipi?kuweni wa kweli bwana..
 
Arusha zipo kwenye last finishing tumejenga mto wa mbuu, kijenge na Moshi Kibosho
Ila hapa kuna some zilizojengwa
ea772d51483e38f5e627469eb6c21dcc.jpg
5a89915189f4dcfae6840586e47c7fde.jpg
three bedrooms
Hii nyumba mil 32 nakataa kabisa..mie sio fundi lakini ninakibanda..
Hiyo nyumba inauzio tayari na peving imekwisha fanyiwa ..
hiyo nyumba kwa thamani sio chini ya mil.120
Ingekuwa hivyo NSSF,PPF,NHIC wangetujengea nyumba za bei hizo sasa..
Nafikiri hii ni aina nyingine ya utaperi..
 
cc74bf2491c5a018783df3f26fb37a10.jpg
2c0f3320894c4ffa055c1fb7e39868f1.jpg
unaona kama hii kaka ni moja Kati ya nyumba za Room mbil bt hazijamaliziwa ndo maana nataka kazi ikiisha ndo niweke
Hii nyumba ni ujenzi wa kizamani hauwezi kusema hii nyumba unajenga kwa mil 32..nipe bei ya hilo paa tu kisha utasema hiyo nyumba ni mil 32.even before finishing.
Nyumba za sasa hazina kenop design hiyo..
 
Hii nyumba ni ujenzi wa kizamani hauwezi kusema hii nyumba unajenga kwa mil 32..nipe bei ya hilo paa tu kisha utasema hiyo nyumba ni mil 32.even before finishing.
Nyumba za sasa hazina kenop design hiyo..
Sijakuelewa kiongoz kwahiyo hii nyumba ulitaka ijengwe kwa mil ngapi boss
Kuhusu design kuwa ya kizaman au ya kisasa hiyo Raman ndo ilikuwa chaguo la mteja wetu huwezi kumkatalia mteja kisa kuna mitindo ya viduku imeingia
 
Ahsanteni sana kwa huduma ya ujenzi wa Nyumba kwa gharama nafuu namna hii.

Msibabaishwe na watu wasiotaka kuamini na kukazania fikra zao ambazo wanadhani haziwezi kubadilika miaka nenda rudi. Mambo yanabadilika, kila kitu na majira na wakati wake.

No wonder mpaka sasa licha ya udhihirisho wa kuaminika juu ya uwepo wa Mungu lakini bado kuna Binadamu wenye nyama na mifupa eti wanasema hakuna Mungu kwa sababu tu wamesoma na kuelimika sana kwa Elimu ya Ulimwengu huu unaobatilika..

Yaani mtu katoa contact, kama haitoshi katoa hadi addres ya Ofice zilipo. Kaenda mbali zaidi kaonyesha picha na Mitaa ya Nyumba zilizo/kwisha kujengwa. Kaonyesha hadi Bango lenye kuonyesha Project ya ujenzi wa Nyumba inayojengwa, kakukaribisha hadi Ofsin na kukualika ukatembelee site zinakojengwa Nyumba, ila bado tu Mtu kashupaza shingo na kusema si kweli eti ni Utapeli.

Kweli Binadamu hasa sie weusi tuna matatizo makubwa kwenye Bongo zetu.

Watu kama hawa hawachelewi kuleta zengwe ili watu kama hawa waliaoamua kutoa huduma kwa gharama nafuu ili wapate misukosuko wasiendelee mbele.

Ushindwe kuamini kwa ushahidi wote huo, kisha umuamini Mungu ambaye haonekani kwa macho kweli? Uamini kuna kupona ugonjwa kwa maombi kupitia Imani?

No wonder wanaoamini uchawi (nguvu za giza) ni wengi kuliko wanomuamini Mungu.

Nimesikitika sana kuona bado kuna watu hawaamini kinachosemwa na mleta thread.!

Ee Mungu uturehemu sisi Wanadamu .! Amina.!
 
Asante sana kiongoz kwa kuwaelimisha kuna watu humu bado ni matomaso ila ninamshukuru Mungu wapo walionielewa na tumeshaandikishiana mikataba project zao zimeanza za member wa humu humu JF wakati wa kuwakabidhi project zao nitawaomba waniruhusu niweke picha zao humu kama ushahidi ili na akina Tomaso waamini
 
Back
Top Bottom