Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Bado tunaendelea na ujenz Tanzania nzima hadi visiwani karibun
 
a5bdba480282114a7d8d0017887ba337.jpg
0d3dc155b42020d6051c880007ce9598.jpg

Project nyingine ikiendelea maeneo ya kigambon ni nyumba ya Vyumba viwili vyote self, sebule, dining, store, jiko la kisasa na public toilet kwa garama ya shil mil 32 tu
Material zetu ni bora na za kisasa zaidi
Madirisha aluminum
Milango Aluminium/mninga kwa garama moja
Tiles China grade one, Spain or Italy grade two
Gypsum
Bati msauz mgongo mpana
Vifaa vya bomba na masinki tunatumia vya uturuki
Kwa swali maoni ushauri WhatsApp me 0763772636
Naishi mjimwema kigamboni, naomba niwasiliane na wewe nizitembelee hizo nyumba mnazojenga huku kwa hatua ya kwanza kabla sijafika ofisini, nina hitaji kufanya project kubwa za apartment hivyo naomba nijidhihirishe.
 
Naishi mjimwema kigamboni, naomba niwasiliane na wewe nizitembelee hizo nyumba mnazojenga huku kwa hatua ya kwanza kabla sijafika ofisini, nina hitaji kufanya project kubwa za apartment hivyo naomba nijidhihirishe.
Karibu ofisi zetu zipo Makumbusho complex waweza kufika na tukaenda
 
Ni Vyumba viwil self vyote ukubwa 4.5*4.5 kwa chumba then sebule choo cha public, dining, store na jiko karibu sana mikoan kote tunafanya kaz mpaka zanzibar
Kama kuna Nyumba ya mfano mliokwishajenga ya hiyo 32Mil tunaomba mtuwekee picha zake hapa
 
AsantAsante sana petty.jamani msishangae ku doubt. Maana dunia ya sasa utapeli mwingi. Pengine watu wamejenga zime wa cost hela nyingi kuliko kinachotajwa humu. Au wengine wameliwa. Kijana nitakutafuta.nili plan kujenga nyumba ndogo ya vyumba 2 mwakani nikijaaliwa mpaka leo naendelea kukusanya hela.mpaka katikati ya mwakani nitakuwa nimeshajipanga.nyumba ndogo lakini iwe nzuri
 
Nikitaka nyumba ya vyumba 6 na ya vyumba 10 gharama kiasi gani? Ni nyumba ya mfano wa hizi za uswazi za kupanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom