pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #541
karibuni kwa ujenzi bora na wa kisasa zaidi
16 ikijumuisha na finishing zote mkuu?Kwa mwenye kuhitaji kujengewa simple house of one bedroom masta sebule dining jiko store kwa garama ya million 16 tu plz wasiliana na sisi kwa WhatsApp 0763772636 nikuonyeshe sample za mchoro
Kwa asilimia ngapi inakamilika??Kwa mwenye kuhitaji kujengewa simple house of one bedroom masta sebule dining jiko store kwa garama ya million 16 tu plz wasiliana na sisi kwa WhatsApp 0763772636 nikuonyeshe sample za mchoro
tunakujengea kiongozi tunaikamilisha kwa kila kitu ni nyumba ya chumba kikubwa kimoja sebule jiko nkKwa asilimia ngapi inakamilika??
huu ndo unyama ninaouelewasample kama hii ni nyumba ya chumba kimoja masta sebule jiko dining store kwa milion 16 tu karibu tuwasiliane whatsapp 0763772636 nyumba yako maisha yakoView attachment 793354View attachment 793355View attachment 793357View attachment 793358View attachment 793359
very nice..... xo + kiwanja ni chenu au kiwanja juu yangusample kama hii ni nyumba ya chumba kimoja masta sebule jiko dining store kwa milion 16 tu karibu tuwasiliane whatsapp 0763772636 nyumba yako maisha yakoView attachment 793354View attachment 793355View attachment 793357View attachment 793358View attachment 793359
Viwanja mnapima bei gani?Kama kiwanja chako hakijapimwa karibuni tunatoa na Huduma ya upimaji viwanja kwa garama Rafiki kabisa
kiwanja ni cha kwako kiongozivery nice..... xo + kiwanja ni chenu au kiwanja juu yangu
ndio inawezekana kabisa kwani wapo wateja wengi wanaofanya ivo hata huyu alijenga kwa awamu hakujenga moja kwa moja whatsapp me 0763772636Habari mkuu
Nimeiona kaz zenu nimezipenda swali ni kwamba je mnaweza kujenga Kwa awamu Yani nkajenga mpaka Boma liishe halaf napiga na bati baada ya hapo nasubir tena Muda naanza finishing za ndan mdogo mdogo
hapana kiwanja ni juu ya mteja kiongozkiwanja ni cha kwako kiongozi
hizi hujengwa hususan kwaajili ya kupangisha mabachelASasa iko chumba kimoja watoto unawalaza sebuleni au
kiwanja ni cha mteja kiongoxvery nice..... xo + kiwanja ni chenu au kiwanja juu yangu
kazi kazi bado ujenzi unaendelea nyumba ya mteja wetu ikiwa katika hatua za umaliziajiView attachment 803553