Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari wakuu karibuni website yetu eyesproperties.co.tz ujenzi bora na wa garama nafuu kabisa
Kwa shiling mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwili, masta bedroom moja cha kawaida kimoja ..sebule, store, jiko la kisasa na bafu na public toilet

Faida utakazozipata ukijenga nasi
1. Kama mteja huna Ramani tutakuandalia
2. Unaweza kulipa asilimia 50% ya garama na asilimia nyingine 50% ukalipa kidogo kidogo wakati sisi tukiendelea na ujenzi bila shida

4. Tunakuandalia BOQ
5. Baada ya kukukabidhi Nyumba yako
Bado nyumba yako itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa kipindi cha miaka 3
6. Tunaandikishiana mikataba ya project chini ya wanasheria wa pande zote mbili
Kutakuwa na mkataba wa kabla ya ujenzi na baada ya ujenzi
7. Tunafanya ujenzi popote Tanzania na visiwani

Mbali na ujenzi pia tunafanya renovation za majengo ya aina zote

Tunafanya finishing ya majengo ambayo hayajakamilika

Tunaandaa BOQ za ramani mbalimbali kwa garama nafuu kabisa na kwa wakati kwa wale wenye kutaka mchanganuo wa ramani zao garama A to Z tunafanya quotations za ramani zote
Website yetu

Kwa maelezo zaidi
WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
E-mail pettymichael92@gmail. com

Ofisi zetu zipo sehemu zifuatazo

Dar (Makao Makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Mwanza
Buzuruga Plaza
Floor ya pili

Arusha
Namvua Plaza
Floor ya Nne

Karibuni sana
Nyumba yako Maisha yako website

IMG-20170221-WA0028.jpg


IMG-20170221-WA0027.jpg


IMG-20170221-WA0026.jpg


IMG-20170221-WA0022.jpg
 
Vipi kuhusu mioundombinu mingine kama vile maji na umeme, ni inclusive kwenye hizo milioni 32?
Na je, nyumba hizo zimejengwa wapi, namaanisha location au mteja anakuwa na kiwanja chake afu nyie mnaitwa na kumjengea?

Nawapongeza kwa ubunifu wenu, nisadie maswali hayo

Asante.
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
 
Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote

Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea www.one2one.com pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa

View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
Asante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the nature
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...

Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
 
Asante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the nature
Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
 
Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
Okay ofisi ziko wapi?? Je mteja anatakiwa kuwa na kiwanja au pia mnamtafutia?? Inachukua siku ngapi kukamilisha hiyo nyumba?? Je makabidhiano ya pesa inakuaje??
 
Vipi kuhusu mioundo mbinu mingine kama vile
maji na umeme,ni inclusive kwenye hizo milioni 32?
Na je,nyumba hizo zimejengwa wapi,namaanisha location
au mteja anakuwa na kiwanja chake afu nyie mnaitwa
na kumjengea?
Nawapongeza kwa ubunifu wenu,nisadie maswali hayo
asante.
Kuhusu maji umeme ni inclusive ukija ofisini utachagua ramani na aina sisi tunakujengea na tunajenga popote Tanzania kiwanja ni chakwako mkuu
 
Back
Top Bottom