Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Mkuu ni vema ungekua unawaambia watu ata ukubwa wa nyumba (ukubwa wa sebule,kitchen,bedroom) ili mtu apate uhalisia
wazo zuri ila kwa wengi wetu huwa tunawapeleka na site zetu kabisa ili kuona ana kwa ana bure bila shida na vipimo vingi nimeelezea kwenye post zilizopita Asante
 
kwa maelezo zaidi chek me whatsapp 0763772636 au waweza kupiga au kutuma sms kwa 0713935395 karibun
 
HUJ

AWAHI JENGA UKANDA WA MBEZI MKUU, MSINGI TU UNAWEZA KULA 20M , KWEUPE KABISA
Mmmh hiyo 20m msingi tofali ngapi?
Nondo ngapi?
Kokoto mende ngapi?
Mchanga mende ngap?
Saruji mifuko mingapi?

Mbezi napafahamu vyema
 
Maisha ni nyumba
IMG_20180808_210018_758.jpg
 
Wewe Joshua pole sana kijana huu uzi una mwaka na zaidi na tumeshajengea watu zaidi ya kumi kutoka humu ndani kama kungekuwa na utapeli kama unavofikiria Leo hii katika hii page lazima kungekuwa na malalamiko ya kutosha sio kila MTU ni tapeli wengine tunatengeneza wateja wawe wateja wa kudumu pole
Tupia picha na Namba zao za Simu tu-confirm vinginevyo ni ujanja-ujanja tu
 
Back
Top Bottom