Ngapi hiyo ya biashara? Maeneo ganiKaribu sana kiongoz
Ngapi hiyo ya biashara? Maeneo ganiKaribu sana kiongoz
Hii gharama yake ni kuanzia shingapi?? Nataka nami nijipange aiseeeMwanza buswelu project yetu ikiendelea vizuri ndan ya miezi 3 itakabidhiwa Kwa mtejaView attachment 762205
Mpaka inakamilika na kukabidhiwa ni milion 54 tu kiongozi kwa mawasiliano zaidi WhatsApp us 0763772636Hii gharama yake ni kuanzia shingapi?? Nataka nami nijipange aiseee
Ngapi hiyo ya biashara? Maeneo ganiProject ya jengo la biashara likiwa katika hatua za Kumalizia kwa ujenzi bora wa garama nafuu tafadhali wasiliana nasi kwa 0763772636 whatsapp au waweza kupiga 0713935395 nyumba yako Maisha yako View attachment 776527View attachment 776528
wewe unayo yako?
Mimi ninayo mkuu tena gorofa flow moja karibu mbezi ya kibamba ujionee boss ndo maana na wewe nataka ulale kwako hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba mkuuwewe unayo yako?
Nyie mnajenga nyumba za maana.
Floor. Kama ni ya ghorofa itakuwa na floors mbili....juu na chini.Mimi ninayo mkuu tena gorofa flow moja karibu mbezi ya kibamba ujionee boss ndo maana na wewe nataka ulale kwako hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba mkuu
Ndio ni ya floors mbili kiongozFloor. Kama ni ya ghorofa itakuwa na floors mbili....juu na chini.