Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote
Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
Pia tunahusika na upimaji wa viwanja kama una kiwanja chako ambacho hakijapimwa karibu tukupimie kwa bei rafiki kabisa nichek kwa 0763772636/0789047874
View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
whatsap 0763772636 au piga 0789047874/0763772636