pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #501
Kwa design mbalimbali za nyumba michoro ya majengo ya biashara tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0763772636 au piga 0713935395/0789047874
Nimeshakuambia kiongozi ofisi zetu zipo makumbusho stand ya magari ofisi inaitwa Eyes on properties and real estates njoo ujiridhishe kwa kila kitu ata ukitaka kwenda site kuona our on going projects na zile zilizotayari tutakuruhusu kabisaMkuu unaongelea 30mil...sio habari za kuwasiliana wasap...sema ofisi ilipo mtu ajiridhishe na kujiaminisha anatoa pesa kwa watu sahihi na atarajie kitu chenye thamani halisi ya pesa yake.
Ndio tunajenga popote kama mfano Dodoma tumejenga zaidi ya project kumi na mbili huko Zanzibar pia tutakufikiavipi dodoma au zanzibar mtu akiwa na kiwanja chake mtakuja kumjengea?
nashukuru..Ndio tunajenga popote kama mfano Dodoma tumejenga zaidi ya project kumi na mbili huko Zanzibar pia tutakufikia
Karibunashukuru..
Ujenzi ukiendelea Kibaha WhatsApp 0763772636View attachment 719785View attachment 719787
Kazi nzuriProject ya jengo la biashara likiwa katika hatua za Kumalizia kwa ujenzi bora wa garama nafuu tafadhali wasiliana nasi kwa 0763772636 whatsapp au waweza kupiga 0713935395 nyumba yako Maisha yako View attachment 776527View attachment 776528
Vyumba vitatu dining sebule jiko inakamilika kwa milion 54 kiongozi whatsapp 0763772636HII NI VYUMBA VINGAPI? INAKAMILIKA KWA SH NGAPI?
Karibu sana kiongozKazi nzuri