Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

office zenu zipo wapi ?na company yenu inaitwaje?
 
Nyumba yako maisha yako karibu tukujengee kisasa zaidi kwa garama nafuu kabisa
 
Karibu tukujengee pia tunafanya finishing za aina zote na renovation
 
cf59ae532d7c0aa3c4283c32b123f648.jpg
brown meter mbili na nusu kwa mbili bei laki 30 Brown manyoya
 
Nyumba yako maisha yako kadibu kwa huduma ya renovation finishing na ujenzi vyote vinapagikana
 
Labda kwa kukujibu ni kuwa nyumba ya mil 32 ni nyumba ya Vyumba viwili sio vitatu Nyumba ya Vyumba vitatu yaan Masta bed moja Vyumba viwil sebule choo nk ni mil 50
f5a43bf141426c75b2497ccd64696aa4.jpg
hii ni sample ya nyumba ya Vyumba vitatu view kwenye hiyo picha utaona tumekokotoa bati kiasi gan tofal ukubwa wa eneo nk
Kk mko vzur ngoja nijipange ntawafata cku moja
 
Back
Top Bottom