Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Tunashukuru sana kwa wateja wetu ambao mnazidi kutusapoti hakika tunashukuru sana kwa namna mlivoridhika na huduma zetu
 
Hahahahah bango structural engineer ndo huyo huyo contractor, angalieni msiliwe pesa zenu kwa utapeli mpya wa mjini
Kiongozi pitia uzi mzima huu ni Uzi wa tangu mwaka Jana so kama kungekuwa na utapeli nadhani ungepata malalamiko kutoka kwa wateja
 
Vip

Vipi kuhusu Renovation au umaliziaji/finishing work kwa nyumba ambayo haijakamilika, mnafanya na shughuli hizo au ni ujenzi wa nyumba mpya tu !!??
Tunafanya hadi renovation kiongozi karibu sana
 
70b6e091d6cc4884b7e5dcee92f1675a.jpg
 
ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0763772636 WhatsApp
0789047874 call

Petty Marcel
SALES REP
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA
Website yenu haipo

Vigumu kwangu kufanya maamuzi kwa maneno pekee na mimi Sipo bongo
 
Website yenu haipo

Vigumu kwangu kufanya maamuzi kwa maneno pekee na mimi Sipo bongo
Sijajua itakuwa imepata shida gani nimeshapeleka malalamiko kitengo cha IT ndo wanafanyia kazi kiongozi maana tangu juzi inasumbua
 
Website yenu haipo

Vigumu kwangu kufanya maamuzi kwa maneno pekee na mimi Sipo bongo
Ungekuwa Tz ningekushauri uje ofisini ili ujiridhishe kwa kila kitu na project ambazo tumeshakamilisha ukajionee kwa uhakika zaidi
 
Karibuni sana kwa ujenzi bora tunajenga popote Tanzania
 
Kila kitu kiongozi wewe tunakukabidhi funguo tu

Sijajua ubora wa kazi zenu lakini kwa mwendo huo nyie mnastahili kuitwa NHC.

Mnawezesha watu kumiliki nyumba kwa gharama nafuu. Naomba niulize tena, mnapata wapi material bora kwa bei nafuu kiasi hicho hadi mpate faida kwa hiyo bei?

Shukrani
 
Tumeingia ubia na viwanda mbalimbali ambapo tunapata material kwa bei zaidi ya kiwandani maana tumekubaliana kuchukua material kwao kwa project zetu so wanatupa material kwa bei rafiki zaidi na sisi tunajenga kwa bei rafiki ili tujenge imani na wateja wetu kuwa tunachokisema ndicho
 
Huko mtaani ndugu yangu mafundi wana ya kwao ndio maana unaona gharama ndogo
 
Tumeingia ubia na viwanda mbalimbali ambapo tunapata material kwa bei zaidi ya kiwandani maana tumekubaliana kuchukua material kwao kwa project zetu so wanatupa material kwa bei rafiki zaidi na sisi tunajenga kwa bei rafiki ili tujenge imani na wateja wetu kuwa tunachokisema ndicho

Ahsante sana. Ntawatembelea ofisini. Kazi nzuri
 
b9e76449d02ddbca037a7d9cc7ff8a82.jpg
4dbdfdfdd051383840a1b522ba628fe4.jpg

Kazi ya mteja wetu maeneo ya moshi ikiwa katika hatua za mwisho karibu tukujengeee kwa uaminifu mkubwa na kwa wakati kabisa
 
Time will tell...relax
Leo ni mwaka tangu niweke hili tangazo mkuu je umeshaona MTU kalalamika kuibiwa? Nimeona nikukumbushe tu kuwa sio kama wewe sio mwaminifu usidhani na wengine wako ivo
 
Back
Top Bottom