pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #441
,,,
Siku ya kuja site kuona na kuandaa BOQ gafama ni juu ya mteja atachangia kidogo baada ya kusaini mikataba mfano kama jumla ya ujenzi ni million 39 basi mteja atalipa gadama hizo tu Usafidi kulala kila kitu ni juu ya kampuni karibu 0763772636 WhatsAppMkuu Petty! Gharama za kuwaleta sehemu husika ili muwanze kunifanyia kazi, gharama ni juu ya nani? Na kula kulala pia??
Upewe 50%? (16m tshs.) ofisi zenyewe za ku-share hapo Makumbusho complex kodi 100,000/= kwa mwezi. Matapeli hamjatupata badoMhh! Utapeli mwingine huo!!!!!
Siku ya kuja site kuona na kuandaa BOQ gafama ni juu ya mteja atachangia kidogo baada ya kusaini mikataba mfano kama jumla ya ujenzi ni million 39 basi mteja atalipa gadama hizo tu Usafidi kulala kila kitu ni juu ya kampuni karibu 0763772636 WhatsApp
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nyumba ya vyumba vi 3 ikiwa kwenye hatua ya mwisho ili ikabidhiwe WhatsApp us 0763772636![]()
Wewe Joshua pole sana kijana huu uzi una mwaka na zaidi na tumeshajengea watu zaidi ya kumi kutoka humu ndani kama kungekuwa na utapeli kama unavofikiria Leo hii katika hii page lazima kungekuwa na malalamiko ya kutosha sio kila MTU ni tapeli wengine tunatengeneza wateja wawe wateja wa kudumu poleUpewe 50%? (16m tshs.) ofisi zenyewe za ku-share hapo Makumbusho complex kodi 100,000/= kwa mwezi. Matapeli hamjatupata bado
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nyumba ya vyumba vi 3 ikiwa kwenye hatua ya mwisho ili ikabidhiwe WhatsApp us 0763772636![]()
Huyu jamaa tapeliMkuu,
Hongera kwa biashara.
Hii picha imenipa Mashaka. Mkimaliza kumjengea mteja mnaweka na vinyago na picha yake ya harusi kabisa kwenye frame kabla hamjamkabidhi? Manake naona interior decor imekamilika kabisa!
Angalia vizuri hizi picha ulizopost hapa. Unless ulipewa kazi ya kupiga rangi tu.
Kabla ujahukumu njoo na uthibitisho ili na wengine uwaokoe sio kujamba ovyo tuHuyu jamaa tapeli
Akipata watu 10 tu x 32m= 320m na mji anahama anaishi raha mustarehemkuu hiyo three badroom inakwenda kiasi gani? je znz mnafika ?
Sisi tunajenga na kufania renovationMkuu,
Hongera kwa biashara.
Hii picha imenipa Mashaka. Mkimaliza kumjengea mteja mnaweka na vinyago na picha yake ya harusi kabisa kwenye frame kabla hamjamkabidhi? Manake naona interior decor imekamilika kabisa!
Angalia vizuri hizi picha ulizopost hapa. Unless ulipewa kazi ya kupiga rangi tu.
Tonafpka popote tz kiongozmkuu hiyo three badroom inakwenda kiasi gani? je znz mnafika ?