Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Ujenzi ukiendelea maeneo ya Goba Dsm Nyumba ya kisasa vyumba vitatu sebule,dining, store,public toilet bei hadi kukamilika kulingana na hitaji la mteja wetu materials alizopendeleza itagarimu million 66 WhatsApp 0763772636
IMG_20180326_174838_373.jpg
 
Waongooo haoooo
Naomba useme ulichodanganywa na kampuni yetu na utoe ushahidi hapa hapa ili na wengine watambue uongo wetu maana sio unakuja kutapika kumbe hata Kiwanja huna wala hujawahi kufanya Kazi na sisi ili tangazo lina zaidi ya mwaka sasa nadhan kama tungekuwa waongo wengi tuliofanya nao Kazi wangeleta malalamiko hapa
 
Raman ya vyumba vinne sebule,dining room, store, inapatikana kwetu Eyes on Properties Limited Kwa michoro ya majengo aina Zote tupigie 0763772636
IMG-20180330-WA0084.jpg
IMG-20180330-WA0085.jpg
IMG-20180330-WA0083.jpg
IMG-20180330-WA0082.jpg
IMG-20180330-WA0081.jpg
IMG-20180330-WA0080.jpg
IMG-20180330-WA0079.jpg
 
Kazi ikiendelea ujenzi wa gorofa floor moja ukiwa katika hatua ya finishing karibuni sana kwa kazi za ubora wa hali ya juu WhatsApp 0763772636 calls 0789047874/0713935395View attachment 742999
IMG-20180413-WA0020.jpg
IMG-20180413-WA0018.jpg
 
63ba8d2d709cb4ee1ec43a7badbb7996.jpg

Project Yetu maeneo ya bweni DSM hili no gorofa moja ina vyumba vinne kimoja juu vitatu chini sebule Dining, sebule store kitchen ya kisasa
Umesema nyumba hii JUU ina chumba kimoja, vitatu viko chini. Nafasi ingine juu kuna nini?
 
Mkuu! Nyumba yenye ukubwa wa mita 180 makadirio yake gharama yaweza kufika ngapi pamoja na ufundi?

Ya Vyumba vitatu;
  • Master bedroom yenye ukubwa wa mita 6 + toilet
  • Vyumba viwili vyenye ukubwa wa mita 5 + toilets
  • Varanda yenye ukubwa wa mita 7 + public toilet
  • Family hall yenye ukubwa wa mita 9
  • Jiko lenye ukubwa wa mita 5 na store yake ndogo
  • Bati za zenye mgongo mpana
 
dhuuu vyumba viwilii hapana aisee labda vitatu nitafikiria maana wageni wakija unakazi tena ya kujipanga na kama una watoto wa kiume na wakike utafanyaje
 
dhuuu vyumba viwilii hapana aisee labda vitatu nitafikiria maana wageni wakija unakazi tena ya kujipanga na kama una watoto wa kiume na wakike utafanyaje
Vyumba viwili wengi hujenga kama apartments za kukodisha kama ivi hizi tunajenga maeneo ya mburajati
IMG-20180417-WA0020.jpg
IMG-20180417-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom